Diamond Platnumz ft Ne-Yo-Marry You

Diamond Platnumz Ft. Ne-Yo SIO OFFICIAL/HAIJATOKA RASMI NA ni Badhi ya vipande Vimeunganishwa Full AUDIO[Official] itatoka ivi karibuni pamoja na VIDEO
 
Hhahaha kijana naona unakimbilia kucoment kabla ya kufanya tathimini......
"king" hana nyimbo ya miezi 2 bro jamaa nyimbo zake zinaishi kama maandiko ya bible mkuu. Mwaka huu jamaa ametoa mbili Tu lupela ya february na homa ya jiji aje ya may but still ya moto kama ya juzi tena alitoa kabla ya nana ....
Tukisema tuweke collabo boss wako hata 20 zinafika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Alafu ile ya coke studio mliyoipigia promo kuwa ya kwake leo umeifuta kwenye list
 
Congrats Dplatinumz kwa kukipush kiswahili kimataifa,siku moja vijana wataelewa mchango wako.
 
Hii nyimbo ilishapagwa kutolewa descember kabla hajanza tour ya U.K n neyo

Tour inakuja tarehe 24 Descember dar jangwani seabreeze then iringa mikoa mingine itajwa
Jangwani ni tour mkuu? mi najua ni beach party tu labda mnabadilishe sasa hv
 
Nyimbo imeachwa mbali na ngoma mpya ya LISABELA aliyoimba kingi kiba, hapo s kapoteza fedha bure, kiba kaimba lisabera pekee bila kumshrksha mtu bado kamkmbiza aliepanda ndege na kwenda USA, m nawaambia kuimba kuzr s lazma ufanye kolabo na mtu mwngn.. ngoma hamna kitu hii, biti na maneno haviendani sjui n woga ata sjui?
 
Huna hoja unapuyanga tu
 
ushauri wa bure kwa Diamond!
Tunatambua Juhudi zako ukiwa kama kijana wa kitanzania ambaye huachi kupigana ili upate ridhiki,
Lakini napendekeza yafuatavyo:
Kabla hujashirikiana na Msanii yeyote yule, Angalia Nyimbo zake na flow yake kama zinaingiliana na style zako. Kwa mfano hii hapa ipo vizuri
Kingine Kwa sasa pumzika kutoa nyimbo, nafahamu una nyimbo nyingi sana, vinginevyo ziwe zimetengenezwa na producer tofauti na laizer.
Vinginevyo Nyimbo zako nyingi zipo na staili moja, zinachosha haraka sana!
So naungana na mchangiaji moja juu, kwa sasa wewe fanya shoo kali kwa bei nafuu hapa Tanzania Na East Africa, Hii itakusaidia kupata kura nyingi kwenye Tuzo zijazo! Kumbuka Tuzo ndiyo zinaweza kukupa Endorsement Deal Kubwa na makampuni tofauti!
So the issue now should not be about the money, the issue ni watoto wakiulizwa diamond ni nani wakujue Africa Mashariki yote!

Maneno yangu siyo sheria mpaka yafuatwe,
Kuhusu Nyimbo ya Neyo na Diamond, Me sioni tatizo sana, Tusubirie Video huenda ikabusti hii nyimbo! Lakini Binafsi siwezi kufananisha na nyimbo kama Mdogomdogo, Ntampata wapi, My No... Hii imeshuka kiana kama ile uliyofanya na Iyanya
Von Mo
 
Mnajitahidi na ngoma haijawa official release ikitoka sasa c mtakimbia
 
Well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…