ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Wivu was kikeNyimbo mbovu......hata sijaisikiliza mpaka mwishoooo
Sijawahi kusikiliza NGOMA tamu kama hii tangu nizaliwe...
Kweli Diamond kiboko..!
Huyo domo wako nyimbo zake zinadumu wiki mbili tu ishachokwa .... hujiulizi kwann kila miezi 2 anatoa nyimbo?Ukweli Ni kuwa huu wimbo umevuja.....kuna muhuni kauvujisha!!! Na nilisha ziona Dalili za wimbo huu kuvuja toka walipo uimba kwa Mara Ya kwanza Mwanza...hadi clip za wakati wanashoot video!
Kama kweli wewe unajua muziki utagundua kuwa huu wimbo sio ule official! Kwa kifupi ni kama ule mchafuuu.... Kama ni movie hasi ni ile camera recording!
Pili unapomaliza sekunde ya 38 utagundua kuwa huu wimbo unaendelea!!! Huu sio mbaya ni bonge moja LA Audio lakini niseme Diamond anabahati moja kubwa sanaa ambayo wengi wetu hatujaijua mpaka Leo! Kama umemfuatilia Diamond kila wimbo anao utoa basi wiki ya kwanza huwa ni mbaya kwa kila msikilizaji..lakini kadri siku zinavoenda ndio watu huona aanhaaa
Sasa wimbo umevuja,kumbuka Nasema Nawe ilivujaaa lakini ilivyo kuja kutoka Official kila mtu alibaki anashangaaa sanaaaaaa na mwisho was siku ikampa tuzo na hadi Leo watu bado wanaisikiliza!!!
Siwezi kuijudge hii ngoma kwa sasa Ila namsubiri diamond aende Marekani wakafanye tour arudi mwakani itakavyo toka official tutakutana tena hapaaa
Uzuri wake diamond sio mbishi anachukua maoni yenu na kuyafanyia kazi!!
Ngoma ngapi zimevuja na zikafanya vizuri.....HII SIO OFFICIAL!!
Tusubiri Amber Rose aje Bongo then mwakani hii ngoma tutasema
.............. wa dar weww?Hatufanyi fanyi tuna fanya kaziiiiiiii chibuuuu nakuonaaa unakulatu ubuyu shigidaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kama kweli ww mfatiliaji wa music domo katoa nyimbo ngp kwa mwaka huu coz mm navojua kuna kidogo na hii salome asa ww unaesema kila baada ya miezi miwili anatoa ngoma nijibu katoa ngoma ngp.....na huwu wimbo cyo official bali ume vuja tuHuyo domo wako nyimbo zake zinadumu wiki mbili tu ishachokwa .... hujiulizi kwann kila miezi 2 anatoa nyimbo?
Make me sing wa mwaka gani?Kama kweli ww mfatiliaji wa music domo katoa nyimbo ngp kwa mwaka huu coz mm navojua kuna kidogo na hii salome asa ww unaesema kila baada ya miezi miwili anatoa ngoma nijibu katoa ngoma ngp.....na huwu wimbo cyo official bali ume vuja tu
Dunia ni hii hii utasemaje unarelease marekani peke yake ikiwa cc pia tunaacess ya kudwnload nyimbo za kina jayz pindi tu ikitoka???Kama kweli ww mfatiliaji wa music domo katoa nyimbo ngp kwa mwaka huu coz mm navojua kuna kidogo na hii salome asa ww unaesema kila baada ya miezi miwili anatoa ngoma nijibu katoa ngoma ngp.....na huwu wimbo cyo official bali ume vuja tu
Mbona unapaniki broza iyo ni demo kuna vitu kibao havijakamilika umo afu ata ukiisikiliza kuna sehem inakatwa katwa so punguza mkali official song ikitoka ndo utoe duku duku zakoDunia ni hii hii utasemaje unarelease marekani peke yake ikiwa cc pia tunaacess ya kudwnload nyimbo za kina jayz pindi tu ikitoka???
Na pia hii quality ndo ya marekani ! mbovu hyo ya tanzania itakuaje? kabla ya kumtetea bosi wenu kaeni chini mpange majibu syo huyu anajibu hivi hyu hvi.....
Uliponifurahisha mkuu ni jinsi ulivyomalizia kwa kuwatahadharisha kuwa mvua zimeanza ngoja ziishe kwanzaUyu diamond naye ajifunze uvumilivu yani akisikia tu mwenzio kiba anasumbua hewa basi anajitahidi kuachia wimbo
Ujumbe kwa washauri wake sasa hivi watu washajua diamond haina haja ya kila baada ya miezi miwili atoe wimbo sasa ni mda wa kupiga pesa watanzania wengi wana hamu ya kumuona diamond kwanini mnashindwa andaa tz tour woga wenu nini ebu fanyeni wasafi mna wasanii wanne wote wanajulikana hivi kweli mnashindwa andaa tour tz tena kwa kingilio kidogo tu mtapiga pesa zaidi ya fiesta
Yani dai, rich, Rey, harmo, plus wadau wenu dully, chid, sheta, ney wa mitego, nk mbona pesa hiyo hapo sema mvua zimeanza ngoja ziishe
Hii nyimbo ilishapagwa kutolewa descember kabla hajanza tour ya U.K n neyoUyu diamond naye ajifunze uvumilivu yani akisikia tu mwenzio kiba anasumbua hewa basi anajitahidi kuachia wimbo
Ujumbe kwa washauri wake sasa hivi watu washajua diamond haina haja ya kila baada ya miezi miwili atoe wimbo sasa ni mda wa kupiga pesa watanzania wengi wana hamu ya kumuona diamond kwanini mnashindwa andaa tz tour woga wenu nini ebu fanyeni wasafi mna wasanii wanne wote wanajulikana hivi kweli mnashindwa andaa tour tz tena kwa kingilio kidogo tu mtapiga pesa zaidi ya fiesta
Yani dai, rich, Rey, harmo, plus wadau wenu dully, chid, sheta, ney wa mitego, nk mbona pesa hiyo hapo sema mvua zimeanza ngoja ziishe
Washapaniki wkt ngoma hata haijawa official release domo unajua kuwapanikisha kinoma timu matopenHii nyimbo ilishapagwa kutolewa descember kabla hajanza tour ya U.K n neyo
Tour inakuja tarehe 24 Descember dar jangwani seabreeze then iringa mikoa mingine itajwa