Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 778
- 1,722
Tangu aende sauzi kwenye birthday ya mama watoto wake akiwa na crews nzima ya wasafi classic, bado sijajua kama kasharudi ama bado analea familia.
Kwa kweli Cheka tu ndugu yangu maana si kwa majibu hayo anayopewa mwanzisha madaAhahaha imebidi nicheke...