Ukitaka kujiua ki mawazo na kiuchumini pale utakapo endelea kubishana juu ya mafanikio ya mtu na huku hufanyii kazi unachobishaniaHawa jamaa ni wabishi na huwa hawaoendi kukubali ukweli.
yaani ninyi mkishaweka thread mnaanza majunguUtaona jamaa wa Faru John na hilo wanapinga
give to God what belongs to GodYa kaisali mpeni kaisali
Utaona jamaa wa Faru John na hilo wanapinga
Thread imeeanza vizuriii, ila wewe ukaanza kuichafulia hapa. Una roho mbaya sana. Hawa wasanii kila mmoja ana mchango wake katika Music wa Tanzania. Upinzani wao ndio unafanya music ukue zaidi kwani Music ni ushindani. Acha tabia za roho ya korosho wewe.Utaona jamaa wa Faru John na hilo wanapinga