Diamond Platinumz: Msanii aliyeamua kufanya mapinduzi ya muziki wa kitanzania kuwa wa kidunia

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Platnumz-Pl.jpg


Kati ya namba ambazo huwezi kuzigawanya ni kama 5 ,7, 9 huo ni mfano tosha wa mwanamuziki kutoka [HASHTAG]#eastafrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] @diamondplatnumz ambae huwezi kumueka katika kundi lolote la mgawanyo au kumfananisha na mtu yoyote katika nchi ya tanzania kwa ushujaa wake ...@diamondplatnumz ndiye msanii pekee east afrika aliyeamua kuufanya muziki wa afrika mashariki na kuufanya uwe na thamani kubwa kwa mataifa mengine nje na ndani ya afrika kwa namna moja au nyengine..........
Ni mtanzania aliyeamua kuubadilisha muziki wa afrika mashariki kutoka muziki wa starehe na kwenda kuufanya kuwa ni muziki kazi (muziki biashara) pamoja na kufungua njia nyingi za wasanii wengine kutoka afrika mashariki na nje ya afrika mashariki .............................
Uzalendo wa kutumia lugha ya kiswahili katika nyimbo zake au alizoshiriakana na wasanii wa nje au hata akiwa katika nchi za kigeni na kukifanya kiswahili (lugha ya taifa) kupendwa zaidi kwa mataifa ya kigeni na kupelekea hata baadhi ya wasanii kutoka nchi nyengine kutengeneza nyimbo zenye mahadhi ya lugha ya kiswahili. ..Hili ni jambo kubwa la kumpa heshima ya pekee msanii huyu Mzalendo kutoka kutoka katika kitongoji cha [HASHTAG]#tandale[/HASHTAG] !
...................................................
Tujifunze haya kutoka kwa @diamondplatnumz :
HESHIMA..KUJITUMA...KUTOKATA TAMAA.....JITIHADA....NA BAADHI YA SIFA AMBAZO TUNAZIONA KUTOKA KWA SHUJAA HUYU WA KITANZANIA.

Credit: Kwa heshima ya mdau kutoka Instagram
 
Anastahili pongezi na kupewa thamani kwa mchango wake mkubwa kwa taifa letu!
Tungeacha ile tabia ya kusifia mtu akishakufa kama yale ya bongo movie na marehemu kanumba
 
Utaona jamaa wa Faru John na hilo wanapinga
Thread imeeanza vizuriii, ila wewe ukaanza kuichafulia hapa. Una roho mbaya sana. Hawa wasanii kila mmoja ana mchango wake katika Music wa Tanzania. Upinzani wao ndio unafanya music ukue zaidi kwani Music ni ushindani. Acha tabia za roho ya korosho wewe.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom