Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,761
Kati ya namba ambazo huwezi kuzigawanya ni kama 5 ,7, 9 huo ni mfano tosha wa mwanamuziki kutoka [HASHTAG]#eastafrica[/HASHTAG] [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] @diamondplatnumz ambae huwezi kumueka katika kundi lolote la mgawanyo au kumfananisha na mtu yoyote katika nchi ya tanzania kwa ushujaa wake ...@diamondplatnumz ndiye msanii pekee east afrika aliyeamua kuufanya muziki wa afrika mashariki na kuufanya uwe na thamani kubwa kwa mataifa mengine nje na ndani ya afrika kwa namna moja au nyengine..........
Ni mtanzania aliyeamua kuubadilisha muziki wa afrika mashariki kutoka muziki wa starehe na kwenda kuufanya kuwa ni muziki kazi (muziki biashara) pamoja na kufungua njia nyingi za wasanii wengine kutoka afrika mashariki na nje ya afrika mashariki .............................
Uzalendo wa kutumia lugha ya kiswahili katika nyimbo zake au alizoshiriakana na wasanii wa nje au hata akiwa katika nchi za kigeni na kukifanya kiswahili (lugha ya taifa) kupendwa zaidi kwa mataifa ya kigeni na kupelekea hata baadhi ya wasanii kutoka nchi nyengine kutengeneza nyimbo zenye mahadhi ya lugha ya kiswahili. ..Hili ni jambo kubwa la kumpa heshima ya pekee msanii huyu Mzalendo kutoka kutoka katika kitongoji cha [HASHTAG]#tandale[/HASHTAG] !
...................................................
Tujifunze haya kutoka kwa @diamondplatnumz :
HESHIMA..KUJITUMA...KUTOKATA TAMAA.....JITIHADA....NA BAADHI YA SIFA AMBAZO TUNAZIONA KUTOKA KWA SHUJAA HUYU WA KITANZANIA.
Credit: Kwa heshima ya mdau kutoka Instagram