Diamond Platinumz akiwa na rais wa Gabon

Si kwamba sijawaona, bali hawanihusu. Anayenihusu ni Diamond Platinumz pekee, Mtanzania pekee anayeiletea heshima Tanzania katika sekta ya muziki.
Ingawa sasa sekta ya mataifa huru ya afrika

Kuna mmoja amesema tumwite taifa stars
 
Mr.International a.k.a Mohombi Ni anampost diamond na kumtag kila kukichaaa ama Kweli Maisha ni Mzunguko mzee wa International Love na Coconut tree! Kamuelewa mond
 
Mkuu uchumi unao ila umeukalia.

Kwa hiki kichwa cha habari ulifaa uwe mwandishi hodari kwenye magazeti ya udaku
 
Usahihi ,Rais wa Gabon akiwa na wasanii mbalimbali namuona Akon,Davido,Diamond na wengineo
Dada Mumba Daly ulichokerwa nacho ni kutajwa DIAMOND tu huna lolote,maana kama ni kutokutajwa kwa wengine,basi wewe ungetutajia na hao wengine majina yao. KUMBUKA DIAMOND KAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA,KWA MAANA ANAIWAKILISHA TZ,UMEPENDA AU HUJAPENDA NDIO IMESHAKUWA HIVO.
Screen-Shot-2017-01-12-at-9.39.21-AM.png
 
Kweli ujinga ni janga la Taifa wewe unajadili mavazi miaka hii, hivi Dada yako akivaa kimini kwa mumewe utamkataza au utaanza kumtamani ? Nendeni na wakati, kama mwili mkubwa punguza uvae nguo nzuri sio unavaa nguo kama una mimba ya panya tumbo hilo nyie wanaume mnaojadili mavazi
Kwa hiyo hapo alivaa hicho kisuruali kwa ajili ya mumewe au?
 
Haijalishi wanakuhusu au hawakuhusu lakini uhalisia wa picha ndivyo ulivyo tofauti na unavyolazimisha kuipa hayo maelezo yako
Cheki povu unalolitoa mtoto wa kike,haya tutajie majina ya wote hao walioko kwenye picha ........ (ukishindwa nakuoa bila kulipa mahari)
 
Maana kwa akili za kawaida si rahisi kutaka kuanzisha malumbuno yasiyohusika kwa vile tu mtu amekuwa na mtizamo hasi dhidi ya kile unachokiona wewe ndio sawa
Dada bado nipo nawewe, usipotutajia MAJINA YA HAO WOTE WALIOKO KWENYE HIYO PICHA,BASI LEO NITAKUOA BILA KULIPA HATA MIA KWA WAZAZI WAKO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom