jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Inawezekana si mtanzania uyo maana anavoflowMkuu kwani ungetumia lugha ya TAIFA nini kingetokea?
Au umeitoa sehemu na ukaibeba kama ilivyo?
Kweli mkuu!!Kama kuna mtu hamuheshimu Diamond basi huyo ni mchawi asiye na akili hata moja
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti lugha hawajawalipia ada!! Kwa hyo anaekuongelesha umombo lazma awe alichangia hata ka school feezMuwe mnakumbuka kuweka Subtitle hii lugha hamjatulipia ada alafu inakula bundle ingilishi
Kweli kabisaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti lugha hawajawalipia ada!! Kwa hyo anaekuongelesha umombo lazma awe alichangia hata ka school feez
Ha ha haKweli kabisaa