sina ufahamu mzuri sana lkn ni kama nina haya mawili niyajuayo;King anabebwa na fans na ndo mtu aliekuwa ananufaika zaidi na ule upinzani na Simba kabla ya Tembo kuja kuchukua nafasi yake
ukisikia 'ushakunaku' kule pwani ndo huu!
Duh!Darassa mbona yupo vizuri ila ana kosa Management basi ngoma ya mziki ni kubwa sana ila haijapushiwa sana na hii I like it bonge la nyimbo,hata ukiangalia ktk channel kubwa za kimataifa inapata airtime ya kutosha.
Ni shida aiseeAhaahahahaha...we mjinga ww umenichekesha sanaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Seven mosha mpk leo kwenye pinned post yake twitter kaweka siku kiba alivyo lamba dili la sony music lakin huyu manager wa sasa pinned post kaweka biashara yake ya nguo za mtumba.
Mfalme juha anawazidi hao wote ila siyo mtu wa show offHuu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.
Hapa nazungumzia hatua za kimuziki, shows, mauzo ya nyimbo kwenye platform mbalimbali tukiende kwa Diamond yeye ameenda mbele zaidi kwakua mfanyabiashara anayemiliki online media, radio station, television na pia kampuni ya utengenezaji video Zoom extra.
Kwenye masuala ya kuwa balozi kwenye makampuni makubwa Diamond yupo mbele zaidi akifuatiwa na Harmonize ambaye yeye ni balozi wa makampuni ya Sayona drinks na leo ametangazwa kuwa balozi wa CRDB bank .
Ushauri wangu kwa Alikiba inabidi ajifunze kwa hawa vijana wenzake tena ikibidi akaombe darasa apigwe msasa yeye na mameneja wake.
Na wewe pia utafute mwalimuHuu ni ukweli unaomiza tumeshamuona Diamond akipiga hatua kumi mbele ya Alikiba akaja akamtoa kijana Harmonize ambaye nae amepiga hatua tano mbele kwa Alikiba.
Hapa nazungumzia hatua za kimuziki, shows, mauzo ya nyimbo kwenye platform mbalimbali tukiende kwa Diamond yeye ameenda mbele zaidi kwakua mfanyabiashara anayemiliki online media, radio station, television na pia kampuni ya utengenezaji video Zoom extra.
Kwenye masuala ya kuwa balozi kwenye makampuni makubwa Diamond yupo mbele zaidi akifuatiwa na Harmonize ambaye yeye ni balozi wa makampuni ya Sayona drinks na leo ametangazwa kuwa balozi wa CRDB bank .
Ushauri wangu kwa Alikiba inabidi ajifunze kwa hawa vijana wenzake tena ikibidi akaombe darasa apigwe msasa yeye na mameneja wake.
Hatakagi ata tumjadili kabisa haujawahi kusikia yeye ndiyo mkurugenzi wa BASATA?Sasa kama usalama wa Taifa mziki una maana gani kwake?
Huu uzi unavunja mbavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Coast mbona wamemtema sasa?Kiba msimu uliopita alikuwa mdhamini wa Coastal union timu ya VPL sasa kama anaweza kudhamini timu kongwe kama Coastal union anawezaje kuwa balozi wa kampuni nyingine...kuweni na adabu kwa King
Unajua Alikiba ni mfanyakazi wa B.O.T?hivi utajiri wa diamond unafika billioni ngapi za madafu mpaka sasa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye siku hizi anaimba yale yale ya kinaijeria amepoteza directionMtoa mada hujui mziki Mondi na Harmonize wanaimba taste za kinaijeria ambazo wanaijeria walizipigania na zimefanikiwa ndiyo maana unahisi Mond na Harmonize wamefanikiwa ndiyo wamefanikiwa kwa kuimba taste za watu wengine Alikiba anakomaaa na bongo fleva na uwezo wa Alikiba ndiyo uwezo wa bongo fleva.
Honestly bongo fleva haijapga hatua saaaan ndiyo maani Alikiba hajapiga hatua
Kuhusu matangazo Alikiba alisema matangazo yanakuj tatizo Bei
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa akitaka watu wasijue anakuwa na faida gani kama balozi. Maana balozi unatakiwa kuwa kiherehere
Ndyo shida hiyoNa yeye siku hizi anaimba yale yale ya kinaijeria amepoteza direction
Sent using Jamii Forums mobile app