Diamond na Harmonize wampe somo AliKiba

samahani wadau ktk kipindi hiki cha mfungo lakini lazima niseme;

mashabiki wa diamond ni washamba na waswahili sana......na wengi wao inaonekana ni wacheza vigodoro (wapenda matusi matusi na ni kama wachawi wachawi hiviii). diamond amewajua na ndo maana anahakikisha ktk nyimbo zake nyingi maneno km 'nikusafishe mtaro', 'panua nikupachike rungu', 'nionyeshe hicho alichokupa mama' n.k yanakuwepo ili kuwakamata hawa waswahili.....ikumbukwe, dunia hii 'watwana' ni wengi kuliko 'waungwana'. msishangae kuona kelele niyiingi kwa kila kitu afanyacho diamond, waswahili mtawaweza wapi kwa kelele......hawajui maana nyingine ya muziki zaidi ya kuruka ruka na kutukana. na msishangae kwa kupondwa kwa kila kitu afanyacho alikiba; waswahili utawaweza wapi kwa kuchamba na umaskini jeuri! great thinker atanielewa hapa.

siwezi kuzungumzia sana kuhusu hayo masuala ya mikataba na makampuni mbalimbali lkn nijuacho ni kuwa kila mtu na namna yake ya kuishi.....kiba aliibuliwa na muziki na anaendeleza muziki wake mpaka sasa, ndio chanzo chake kikuu cha ugali. waswahili wanakesha kumuombea mabaya lakini yupo tu.

tuache hayo, hivi mnajua kuwa Diamond anaisikiliza 'Dodo' kwa kwenda mbele?!!! na sijui kama haitopigwa nyimbo hiyo siku ya harusi yake. utapiga nyimbo gani zaidi?
 
Write your reply...ile mofaya walimlazimishaga tu lakini halikuwa hataki kabisa kujionyesha kama ni balozi si mnajuaga tena mfalme wetu hapendagi show off
 
Ok akae apo apo tu pamemtosha

Binafsi ningemshauri kiba kwa sasa afanye mziki for fan tu sio for biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwambie, Mbagala, Nataka kulewa, Moyo wangu, Lala salama, Nitarejea, Binadamu wabaya, Nitampata wapi, Kesho, My number one, Mapenzi basi, Utanipenda.

Nikweli anaimba matusi now days kwaajili yetu ss waswahili na indeed tuna enjoy, but ata nyie wastaarabu sio kwamba amewatupa kuna vitu konki hvo api visivo chuja, kazi kwako..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyakati zimebadilika nae anatakiwa abadilike mfano mond angekua nae anaimba kama zamani nani angekua anaijua Tz ? Msanii wenu amefeli kwenda na ushindani wa soko la kimataifa hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona management yake ya sasa ni ya kiswahili pia. Seven mosha alikua anam lead Kimataifa ndio maana mliona anapata show nyingi nje ya nchi . Huyu manager wake wa sasa ni mswahili sana na ndie atakae muongoza kiba shimoni penye ukweli tutasema. Juzi juzi viewera walivyokua wanapungua youtube kwenye wimbo wa dodo fasta manager aka post ooh watu tunafanya kazi mwimngine anakuja kuchezea kazi yamtu baadae mwenye akaja post tena oooh youtube wanapitia viewers ko watarudi tu kama walivyokua sijawahi ona seven kupost utumbo yeye alikua ki kazi zaidi

Seven mosha mpk leo kwenye pinned post yake twitter kaweka siku kiba alivyo lamba dili la sony music lakin huyu manager wa sasa pinned post kaweka biashara yake ya nguo za mtumba.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizitaki mbichi hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini umetoa siri ya kambi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiv umeelewa kweli kinachosemewa apo juu? na mashaka na uwezo wako Wa kufikiri
 
King anabebwa na fans na ndo mtu aliekuwa ananufaika zaidi na ule upinzani na Simba kabla ya Tembo kuja kuchukua nafasi yake
 
mnazidi bwana, kwanini mhangaishwe na 'ASIYEJUA' kiasi hicho tena kwa miaka mingi tu sasa?!!!! mbona mwenyewe anaonekana amerelax sana na hata hajaomba msaada!

haya endeleeni kuinjoy hayo matusi yenu,🤣🤣🤣 siye tupo na 'Dodo' huku tunajisikilizia na wapendwa wetu!
 
Nyakati zimebadilika nae anatakiwa abadilike mfano mond angekua nae anaimba kama zamani nani angekua anaijua Tz ? Msanii wenu amefeli kwenda na ushindani wa soko la kimataifa hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
acheni undumi la kuwili, hapa bongo tu mnampiga vita hivyo je angekuwa na huko kimataifa yuko njema zaidi si mngeenda kuwakodi M23 wammalize!!! mnaifuatilia, kiroho mbaya, kila hatua anayopiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…