ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Hahaha bora umewah mwambieKwa hiyo Diamond umeamua kuja kujipa promo mwenyewe huku aisee..na kwanini ucopy and paste video ya R2bees tonight??
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Diamond kwenye upande wa video kali hana mpinzani Africa nzimaWengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!
Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na hii video kaibuni sanaaa
Mwanzo kabisa Diamond anaonekana anapita jangwani na mkoko wake ghafla anamuona mwanamke mzuriiii mfano wa Malaika kumbe ni Jini anamua kumfuataa kuelekea pale alipo simama yule Dada mzurii... Wakati anakaribia ghafla yule dada Anapotea..anamtafuta huku na kule anamkuta kwenye Gari yake aliyo park anamuangalia kimahaba! Diamond anaamua kumfuata tena huku akiwa anamuimbia....Ghafla tena demu anapotea pale kwenye gari diamond huku akiwa anashangaa anamuona demu yuleee then demu anamuita diamond na kumtaka amfuatee alikoo demu anaingia kwenye kinjia kisicho eleweka diamond kumfuata anajikuta ametokea kwenye sayari nyingine yenye watoto wakalii na kwa mbali anamuona yule demu akishuka ngaziii...kumfuatilia anajikuta anatokea kule aliko kuwa na Demu kamkosaaaa
Huu ni ubunii na ambao hamkuelewa ndi hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Atujibu au ni meneja masoko wa WCB??Hahaha bora umewah mwambie
AiseeEti ubunifu hahaha wanajua wanamcheka tu
Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.Kwa hiyo Diamond umeamua kuja kujipa promo mwenyewe huku aisee..na kwanini ucopy and paste video ya R2bees tonight??
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond kwenye upande wa video kali hana mpinzani Africa nzima
Tuliza munkari mzee uchomwe sindanoChuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
Mkuu nadhani ilikuwa ni kichupa cha ngoma fulani ya usher ray iko 1ñ2Video ni copy and paste toka duniani uko marekani walishafanyaga kichupa kama hiyo muda sana
mbona mnajichanganya? si mmesema ni ubunifu!!!!! sasa mnapata challenge kwamba ubunifu hapo haupo bali amecopy somewhere mnabadilisha lugha eti chuki. . ..Chuki zingine hazifai.Vijana wa kitanzania ndo mana hatufiki popote.Kisa wivu na chuki za kijinga.
Kama ni kizuri kinaigwa tu na hao mnaosema hawajui muziki kila siku wanaleta tuzo nyumbani tena za heshima,afu cha ajabu hao mnaosema wanajua kila siku wananyoa ndevu pale kkoo.
WAKATI MWINGINE TUJIFUNZE KUTOFAUTISHA KATI YA KILICHO BORA NA UNACHOKIPENDA.
hahahahaaaaaaaaaa uuuuuuwi halo ngumu tumeanza kutafsiriana video humu ndani sasa....PAMBANENI NZ HALI ZENU ngoma mbaya video upupu vinyago alivyovichonga (rayvanny,harmonize,mavoko) vinamtisha broo..Wengi sana najua hawajailewa Video ya ENEKA ya Diamond Lakini hii ni kutokana na kukurupuka katika kuangali video!!!
Hii video ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa Diamond ni Mbunifuu sanaa na hii video kaibuni sanaaa
Mwanzo kabisa Diamond anaonekana anapita jangwani na mkoko wake ghafla anamuona mwanamke mzuriiii mfano wa Malaika kumbe ni Jini anamua kumfuataa kuelekea pale alipo simama yule Dada mzurii... Wakati anakaribia ghafla yule dada Anapotea..anamtafuta huku na kule anamkuta kwenye Gari yake aliyo park anamuangalia kimahaba! Diamond anaamua kumfuata tena huku akiwa anamuimbia....Ghafla tena demu anapotea pale kwenye gari diamond huku akiwa anashangaa anamuona demu yuleee then demu anamuita diamond na kumtaka amfuatee alikoo demu anaingia kwenye kinjia kisicho eleweka diamond kumfuata anajikuta ametokea kwenye sayari nyingine yenye watoto wakalii na kwa mbali anamuona yule demu akishuka ngaziii...kumfuatilia anajikuta anatokea kule aliko kuwa na Demu kamkosaaaa
Huu ni ubunii na ambao hamkuelewa ndi hvyo
Sent using Jamii Forums mobile app
anaekti muvi siku hizi? kuimba kaacha!!!!!Diamond kwenye upande wa video kali hana mpinzani Africa nzima