King bila shows na kazi yako muziki aiseee hatari..footballer bila kucheza game nyingi aiseeee hatari..mnamjaza upepo mbaya kijana wa kariakooo......labda kama wamepanga kupiga pesa mond na kiba na PENSELI hii aiseee UNO CHALIIIIIIIIKiba is our king in music no matter what.
Not rueee...wasingrfanikiwaSiku ukikaa na wasanii ukasimuliwa kuhusu roho mbaya ya Diamond na Babu Tale. Niamini mimi hutokua shabiki wake milele.
Kiba amezaa watoto wa4 kwa wanawake wa4 tofauti na wote amewatelekeza .Mimi ninamshabikia kwakua ni mTanzania mwenzangu lakini King ni binadamu sana
Nakazia na mm Niko kwenye foleninaomba mzigo dada
Tupe intro kidogo!Siku ukikaa na wasanii ukasimuliwa kuhusu roho mbaya ya Diamond na Babu Tale. Niamini mimi hutokua shabiki wake milele.
mkuu usinitoe chambo, humjui jamaa wa mniombee watanzania?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Kuna mmoja hapo sijamjuaa vizurii
Dah unenichekesha kishenzi. Kama mzigo unatolewa kirahis hivyo. Ukikujibu nitaginaomba mzigo dada