Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,066
- 1,047
Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond
Kutumia helikopta kutoka ndani ya dar na kwenda kufanyia show ndani ya dar mi naona anapoteza tu hela,labda anatafuta umaarufu,yasije yakumtokea ya Mr.Nice
Mwenye mvuto hapa nadhani ni Shigongo ndiyo anauwezo wa kupumbaza akili za watu kama nyinyi, mimi binafsi hawa Wanamuziki wa kizazi kipya bado sioni zaidi ya Jide na Banana Zorro, kwa msiojuwa muziki ni lazima mtakwenda kugeuzwa mang'ombe.Wandugu nilikuwa pale, aisee dogo hashikiki ana mvuto wa ajabu, pamoja kulikuwa na mvua bado watu walijaa hadi hakuna pa kukanyaga tiketi za 7,000 ziliisha mapema zikabaki 10,000 na 15,000 na bado watu walinunua, big up Diamond