Kata tiketi upewe siti MkuuNgoja niwahi siti
Ndio ujue Jamii tunayo tabu kweli.Hivi kumbe kuna hadi visasi vya kuisaidia jamii?
Mgonjwa anaomba ujenzi wa zahanati kutoka kwa DiamondHii nchi ina wagonjwa wengi wa akili kama mleta mada, eti diamond lipa kisasi.
Mkuu naaamin nitapata tiba kupitia Ujenzi wa Zahanati.Hii nchi ina wagonjwa wengi wa akili kama mleta mada, eti diamond lipa kisasi.
.. akina Psquare, Techo, Wizkid, Davido nk nk waje wakiwashe hapo Taifa ...
Una point but tatizo ulivyoiwasilisha kiuchochezi chochezi...Brother Chibu/Simba/Dangote/Sukari ya Warembo/Rais wa WCB/Domo/ Mzee wa TUMEWASHA ngoja niishie hapo.
Sasaaaa hebu sawazishaaaa/Lipa kisasi cha Kiba na Samatta kwa jamii ya Watanzania ili nawe pia kuonyesha kuguswa na jamiii yako ya Watanzania na matatizo yanayowasibu. Elimu na Afya ni vigezo muhimu kuvichangia kwa mbinu zozote. Sera ya Serikali sasa ni Ujenzi wa Zahanati kila KIJIJI hivyo serikali bado inahitaji mchango wa Wadau kama wewe.
Ushauri Brother: Fanya bonge la Music Concert ukiitisha wasaniii marafiki zako wakubwa kama akina Psquare, Techo, Wizkid, Davido nk nk waje wakiwashe hapo Taifa na Likizo hiii hakika utalipa kisasi maana Nyomi itakuwa ya maana haswaaa na tutajenga zahanati kama 10 hiviiii.
Aminia babake mi Naota tuuu mitaa London Lounge huku Nikitafakari Mhe. Wazir UMMY atakavyomwaga cheche siku ya hii Concert. Waiter leta ingine
Akili za kuambiwa...........Kumuita Tecno & Davido ,unaona kama msaga sumu na suma Lee?
Kiwanja changu hicho London Lounge Ubungo External pembeni na Mkapa EPZ..Aminia babake mi Naota tuuu mitaa London Lounge huku Nikitafakari Mhe. Wazir UMMY atakavyomwaga cheche siku ya hii Concert. Waiter leta ingine
Mkuuu karibu kiwanja cha wastaarabu hiki.Kiwanja changu hicho London Lounge Ubungo External pembeni na Mkapa EPZ..