Diamond kuperform BBA this sunday!..

Kijana kajitahidi sana watu wamefurahi sana anajua anachokifanya Lugha sio ishu!
 
wadau nimepita kwnye fb page ya BBA nkakuta Biggie ameannounce kwmba Diamond Platnumz ataperform ndani ya jumba la BBA ths sunday na kutaka watu wapost maswali watakayopenda aulizwe but most of the members seems not to know even who's Diamond n even where's he from kiasi mpk wengine wakafikia kumtusi Biggie na kumwambia ss anapoelekea atawaletea msanii anaitw Goldie na wengine kumtak hyo Diamond achague moja kati ya diamond or platnumz..
my take..DIAMOND amejipangaje kuhusu oral interview na biggie?


Wewe mtoa mada kama ni kijana basi taifa limepata hasara, kama ni baba wa familia basi familia haina baba ila ina mwendawazimu yote kwa yote wewe endekeza majungu mwenzako anaingiza fedha.
 
Back
Top Bottom