Kuondoa uhalisia wa karanga kwa kuweka vitu vya ziada kama sukari ilikuwa kosa kubwa sana kwa hizi product za Diamond karanga .Ikumbukwe pia soko letu hapa Tanzania kwa bidhaa ambazo sio za muhimu kama Diamond karanga ni kwa ajili wa walionacho .Walionacho nao hawawezi acha kula karanga halisi na kuanza kula karanga zenye unga wa ngano mkuu .Hiyo sio karanga bali ni kitu kingine kabaisa.