Diamond hakuna unachodaiwa Kwenye music, lakini muombe saana Harmonize aendeleee kuwa juu la sivyo endelea kusimamia Biashara zako

Angalia ondoka ya Harmonize WCB mkuu then utapata concern yangu...bado Harmonize ndiye mtu anayeweza kuwa mpinzani wa Diamond..Belle 9 sijui Darasa Aslay Mavoko hawajawahi kuwa mahasimu wa Diamond kimuziki
 
Kama unajua either ni kweli au uongo alichokisema kwanini umehitimisha Moja kea Moja alivyosema yote harmonize ni kweli?
 
Angalia ondoka ya Harmonize WCB mkuu then utapata concern yangu...bado Harmonize ndiye mtu anayeweza kuwa mpinzani wa Diamond..Belle 9 sijui Darasa Aslay Mavoko hawajawahi kuwa mahasimu wa Diamond kimuziki
Harmonize hawezi kuwa mshindani wa Diamond hata kidogo mtu ambaye alikuwa mshindani sahihi ni Alikiba ambapo walikuwa wana ujazo unaokaribiana kuanzia fan base mpaka mziki leo diamond akitoa ngoma siku Moja na harmonize bila hata kuangalia ukali wa ngoma zenyewe unajua kabisa ya diamond itaenda viral kutokana na fan base kubwa aliyonayo diamond lakini ingekuwa na Kiba ingetemea na ukali wa ngoma ndio ingeamua ipi iende mjini zaidi. Kiufupi mkuu utofauti wa Diamond na Harmo ni mkubwa kiasi ambacho haiwezi kufanya wawe washindani
 
Upo sahihi lakini ilichokosea kwenye mada yako ni kama umeonyesha tittle ya Mondi inategemea uwepo wa Harmo.

"Mondi akuna unachodaiwa kwenye muziki lakini muombe sana Harmonize aendelee kuwa juu"

hapo 👆umeonyesha Harmo akishuka na Mondi atashuka.
 
Mnapenda kulazimisha kumuweka Harmo katika levels zisizo zake, Diamond hawezi kumuwaza huyo dogo kama competitor hata siku moja.
Hiyo plan alianzisha kutengeneza beef ili waonekane kama ni competitors lakini Diamond ni genius ndiyo maana mind game ya Harmo haikuwezekana na imebaki kwa fans/fanatics wake tu.
 
Ile interview alikuwa anatafuta kujibiwa, ni mind game bro. Diamond ana management ambayo inajua mbinu nyingi na goodness ni msikivu sana, kuna msemo 'don't argue with a fool otherwise people might not be able to tell the difference' na ndicho kilichofanyika akaishia kuonekana hamnazo. Alichokuwa anapigia kelele artists waliokuwa kwenye label yake ndiyo ikaonekana wana mikataba mibovu zaidi ukizingatia wala hafawafanyii uwekezaji wa maana.
 
Hata TID na Q Chillah(Q Chief) a while back Diamond alipoanza kuvuma sana walitengeza(or rather media zilitengeneza) mazingira ya kuwa wanashindanishwa na Q Chillah akidai Diamond kamuibia nyota yake
na TID out of nowhere aka-force beef lakini Diamond akaendelea ku-concentrate na kazi zake bila kuangalia pembeni na wote leo wako wapi na yeye yuko wapi.
Hata hawa waolazimisha ushindani kwa sasa watapita na wataanza kumshindanisha na wengine.
 
Mtu pekee wa kumshindanisha na Diamond ni Ally Kiba katika hii nchi,Harmonize bado anahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwa Diamond.
Kwa mfuatiliaji mzuri wa muziki ataamini hiki ninachosema,kusanya ngoma za Mondi na Harmonize Kisha ulinganishe ubora.
Au Angalia fanbase,mauzo au contracts kati ya Mondi na Harmo ni tofauti.
At least King Kiba.
 
mondi alishajibu; "mziki ni biashara"
 
Kwenye Digital Platforms Kiba hata Vannboy hajamfikia, yaani kwenye digital platforms Mondi kamuacha mbali mno yaani mno sana.

Halafu huwezi fananisha mtu aliyepiga shows karibia 90% ya nchi zilizo jangwa la Sahara na anaye piga show EA maana hata wasanii wa WCB wanapiga show sana EA.

Mondi kampita vitu vingi mno ni kosa kubwa kumfananisha na Mondi labda kama unataka kumbusti Kiba.

Hapo bado kapiga show tatu za tuzo za mpira za CAF na show ktk michuano ya CAF championships zilizo fanyika Gabon kwa East Africa hapa jamaa yupo mbali sana.
 
Tofauti ipo kubwa sana Harmo anatembelea Land Cruzer gx 100 series.
wakati Mondi ana-run RR,Bima na Cadillac Escalade.
wapo tofauti kabisa hao wasanii awafanani kwa kitu chochote kile.
 
Hamuwezi kukubali au kujua kwa sasa mshindani wa Mondi ni Konde, kizazi cha kina Mondi na Ali ndio kina sie tunaanza kuzeeka majukumu tele,
Wakina Konde, Zuchu, Marioo, Nandy, wapo kati baadae waje wakina Abby Chams, Yami,
Tukubali zama zinabadilika
Ulifanikiwa kupata mchumba ?
 
Aache kuwabariki waTanzania wote akambariki Samia! Kwa lipi hasa!? Labda kama amekosa kazi.
 
Tofauti ipo kubwa sana Harmo anatembelea Land Cruzer gx 100 series.
wakati Mondi ana-run RR,Bima na Cadillac Escalade.
wapo tofauti kabisa hao wasanii awafanani kwa kitu chochote kile.
Mkuu umesema Cadillac nimekumbuka gari ya DON mmoja Rock city(Zongii), ya mwaka 2022. Gari kali sana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…