Diamond ft Rick Ross "waka"

Ndio kazi yake Mond hayo mengine mnayajua ninyi
 
Dah kwa kweli ngoma kali..... Inavutia kucheza
 
Nyimbo kali sana. Piga kwenye home theater 1000W ni bonge la ngoma, sasa ww sikiliza kwenye vi speaker vya mchina huwezi pata radha halisi ya Wimbo huu
 
Exactly mkuu
 
Tuombe tu ney wa mitego asitufungulie kesi kwa kuiba kipande chake cha kwenye wimbo wake wa makuzi "waka waka wakawaka"
 
Reactions: Lee
Nyimbo kali sana. Piga kwenye home theater 1000W ni bonge la ngoma, sasa ww sikiliza kwenye vi speaker vya mchina huwezi pata radha halisi ya Wimbo huu
Basi kuna poor mastering mkuu! Ukiona wimbo unasikika vizuri kwenye baadhi ya speaker tu basi inaweza ikawa imafanyiwa mastering mbovu!
Maoni yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…