usione kimya sana leo ni kwamba diamond kapigwa chini kwenye best african act ya Europe music award(Ema)wameshinda sauti sol ambao sasa watashindana na jamaa wa asia hapo tarehe 9 november huko glasgow , scotland
All the best, wazee wa sura yako muzuuri maaaamaaaaaa
check remix yake na iyanya ila mimi nahisi wasingemueka verse ya kwanza angeingia pale nyimbo inapochanganyia si unajua tena makelele ya wanaija?Muzuri mamaaaa...muzuri mamaaaa..
.jamani naupenda sana huu wimbo..
ndo maana sisikii kelelee
Walijitangaza halaf wakakana ila kuna ukweli ndani yake
Aiseee roho hadi imeniuma jamani.Mie nawapenda balaa
Heeee unawapendea ninii wao kimwili au kimuzikii au kuna mmoja umemdondokeaa
sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote
Aaaah nilitaka nishangae marijali wale wawe mashoga.......lol
sio kweli walisingiziwa ni kama vile ali kiba alisvyosingiziwa..kuhusu ushoga labda umuulize huyo@Dinazarde kuhusu dj wa dangote
account yao ilikuwa hacked...ndo mtu akapost hivyo...unadhani east africa imefikia hatua ya celebrity kujitangaza kwenye social media kwamba ni gay. amefanya hiyo mtangazaji wa uganda tena baada ya kukimbia nchi..wengine ni downlowAaaah nilitaka nishangae marijali wale wawe mashoga.......lol
hahahahahahhaaha nafikiri uamuzi wangu wa kuji suspend kumshabikia diamond ni uamuzi bora kabisa niliowahi kufanya...sasa hivi naona clear pictureHalaf weweee kama Ally k kasingiziwa na Dangote kasingiziwa hivyo hivyooo
Ndio nishasemaa
account yao ilikuwa hacked...ndo mtu akapost hivyo...unadhani east africa imefikia hatua ya celebrity kujitangaza kwenye social media kwamba ni gay. amefanya hiyo mtangazaji wa uganda tena baada ya kukimbia nchi..wengine ni downlow