kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,118 Jun 25, 2017 #1 /Tanga kunani,vurugu mechi mkwakwani/ /Msambaa chumbani,Ye ndo Mesi uwanjani/.......
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,804 Jun 25, 2017 #2 Sijaelewa kitu...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,520 Reaction score 6,517 Jun 25, 2017 #3 Ushabiki bangi huu
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,118 Jun 25, 2017 Thread starter #4 Jambazi said: Sijaelewa kitu... Click to expand... Hiyo ni baadhi ya mistari kwny wimbo wa FIRE
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Jun 25, 2017 #5 kanali mstaafu said: Hiyo ni baadhi ya mistari kwny wimbo wa FIRE Click to expand... Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni...
kanali mstaafu said: Hiyo ni baadhi ya mistari kwny wimbo wa FIRE Click to expand... Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni...
Mbobo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 1,396 Reaction score 1,825 Jun 25, 2017 #6 jamaa anajua kutumia fasihi aisee.
AlphaPii JF-Expert Member Joined May 15, 2015 Posts 1,169 Reaction score 1,853 Jun 25, 2017 #7 Bishop Hiluka said: Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni... Click to expand... umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha!
Bishop Hiluka said: Natafuta funzo kupitia mistari hiyo silioni... Click to expand... umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha!
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Jun 25, 2017 #8 Alfa Mwijumbe said: umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha! Click to expand... Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya...
Alfa Mwijumbe said: umekariri fasihi ya o'level...wimbo unaburudisha! Click to expand... Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya...
AlphaPii JF-Expert Member Joined May 15, 2015 Posts 1,169 Reaction score 1,853 Jun 25, 2017 #9 Bishop Hiluka said: Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya... Click to expand... unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi!
Bishop Hiluka said: Kakudanganya nani? Kama hujui kaa kimya... Click to expand... unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi!
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Jun 25, 2017 #10 Alfa Mwijumbe said: unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi! Click to expand... Kwa kuwa wewe unavuta bangi basi unadhani kila mtu anatumia. Kaazi kwelikweli...
Alfa Mwijumbe said: unataka funzo kwenye wimbo wa diamond?kweli?...bangi! Click to expand... Kwa kuwa wewe unavuta bangi basi unadhani kila mtu anatumia. Kaazi kwelikweli...