Diamond atoa pini la nguvu...

jamani hiki kitu kimetulia huwa kinanitoa machozi,Diamond we mkali kaka watake wasitake,ila Kiba nae ana kitu cha uhakika sijui kinaitywa mapenzi mhh watoto wakali hawa sio wengine wasindikize wimbo na kashfa kwa walezi wao.
 
Ni kati ya video chache zinazoonyesha mazingira halisi ya tanzania, big up Diamond. Uko juu.
 
That one reflects majority of Tanzanians wasanii wameanza kuona mbali zile "i got bima and am so hot" wakati njaa kali hata baiskeli huna hazidumu sokoni.
 
Nyimbo nzuri, video poa, ila mie hawa wabongo wa ufleva waliokuwa wanazunguka na Jakaya Kikwete kwenye kampeni bado najisikia kichefuchefu nikiwaangalia.
 
Kipi bora kuzunguka na JK kama Diamond nk. au kufichwa na Sugar mami kama Jafarei wana Ngwasuma wote?? manake ndio dili za wasanii wengi wa bongo kwa sasa.
 
naona wimbo wake mwingine wameuchakachua,very funny
 
Last edited by a moderator:
Kipi bora kuzunguka na JK kama Diamond nk. au kufichwa na Sugar mami kama Jafarei wana Ngwasuma wote?? manake ndio dili za wasanii wengi wa bongo kwa sasa.

Mbege na chibuku yote mataputapu tu!
 
jamani hiki kitu kimetulia huwa kinanitoa machozi,Diamond we mkali kaka watake wasitake,ila Kiba nae ana kitu cha uhakika sijui kinaitywa mapenzi mhh watoto wakali hawa sio wengine wasindikize wimbo na kashfa kwa walezi wao.

Hawa jamaa kumbe wametoka mbali. Ila kipind hicho kiba alikuwa anatisha sana
 
Hahah lakini umeona maoni ya huyo mdau shosti... kaweka wazi kabisa hisia zake kwenye huo wimbo ila mwishoni kaongezea na hicho kibao cha upande wa pili. Ila ingekuwa zama hizi mwishoni hiyo post ingemalizika hivi 'KAJIANDAE IKASUBIRI'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom