Diamond atia aibu nchini uingereza.....

Diamond atia aibu nchini uingereza.....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,044
Reaction score
34,771
Mtanzania ambaye kwa sasa ni raia wa Uingereza na anayechezea klabu ya Chelsea, Adam Nditi ameiponda show ya Diamond mjini Reading nchini humo na kudai ilikuwa ni aibu tupu.
adam-na-diamond.jpg

“Diamond jana manyago aibu tupu waswahili lazima tubadilike it’s embarrassing,” ametweet.


“Hajafanya jambo lolote ila shoo ilikuwa very unprofessional kwenye tangazo walisema inaanza saa 3 usiku jamaa amefika saa 1 asubuhi.”


“Jukwaa lilikuwa ovyo kama vile watu hawajalipa kumuuona mmoja Wa wasani wanaotamba bongo nyimbo zilikuwa zinapigwa redioni alikuwa haimbi.”

Kwa sasa Diamond yupo ziarani nchini Uingereza.

chanzo.
DIAMOND ATIA AIBU NCHINI UINGEREZA..... - MPEKUZI HURU
 
Diamond kaanza kulewa sifa. Amuulize Mr Nice.
 
Na yeye mwenyewe analaumu eti watanzania tuache kukwazana na wivu,hivi kuambiwa ukweli nacho kikwazo eeh? Show yenyewe wamefunga mtaa ndo wakaandaa haina ilikua haina tofauti na disco vumbi,Domo bhana
 
Ukimshangaa Diamond mimi nitakushangaa wewe.

"Mtanzania ambaye sasa ni raia wa Uingereza".

Mtanzania kwa vipi? Tanzania inaruhusu "dual nationality" na Uingereza kwa huyu mtu?
 
Back
Top Bottom