+me sizani kama ni uamuzi sahihi kukataa collabo, kwa sababu collabo zinamfanya msanii aendelee kua juu hata kama hajatoa wimbo wake binafsi.
+collabo humuongezea msanii fanbase yake mfano kwa collabo na Iyanya tu leo hii die hard fans wa Iyanya wanampigia kura kwenye best collabo MTV.
+pia hata kama ameamua kusitisha collabo hakutakiwa kutangaza, angekua anazikataa kimya kimya tu, sababu yeye ameshakua star Africa kila anachosema kinaandikwa leo hii wanaija wakiipata hii habari hawatamuangalia kwa jicho zuri!