brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Diamond platnumz ameuanza mwaka 2017 kwa kishindo baada ya Jana kushinda tuzo nchini Nigeria kama most searched personality across Africa.
Habari njema kwake tena ni kwamba weekend hii ameshinda tuzo za Africangroove kipengele cha Artist of the year akiwashinda Wizkid, Tiwa Savage, Yemi Alade na Tekno.
Hata hivyo Tekno aliibuka mshindi wa wimbo bora wa mwaka kupitia wimbo wake wa Pana. Vipengelele hivyo vilikuwa vya non-French speakers artists.