Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,465
Hawa mashabiki maandazi wa Diamond wanahitaji maombezi na English course.
Ona hapa Davido anamtakia heri ya kuzaliwa mtu wake na vitimbakwiri vya Tandale wanavyokosa ustaarabu kwenye mambo binafsi ya Davido. Ni aibu natamani kucomment lakini naona aibu maana huwa sicomment chochote Insta.
Tanzania1 anasema we (including you Nifah)
A lot of craap u can read ya self siwezi kuweka comment zote hapa.
Hii picha kila thread ni kuishiwa hoja ama Mpwa
Matola hapo napingana na wewe,sio kila anae mtukana davido ni shabiki wa diamond uzuri ni kua jf tunatumia id fake ingekua tunatumia id zinazo fanana na instagram ungejionea ni watu gani wanao tukana kule hii haina haja ya maelezo kuna watu wanachochea kwa makusudi ili diamond achukiwe na wanaija pia wapo wanao tukana kwa kufuata mkumbo yote yanawezekana......by the way heshimu maamuzi wenzako una haja gani kumuita mtu shabiki maandazi kisa ni fan wa diamond ilhali nafsi yake ndio ime amua awe shabiki wa msanii huyo,we ni muelewa tumia uelewa wako kuelewa na kuheshimu wengine.
Mapokezi yalikuwa nje, hizo picha zimepigwa ndani ya airport, huwezi ona umati wa watu ndani
Kwa maoni yako....
Ila sikuona umuhimu wa kuanzisha thread mpya kutoa dukukudu langu kwamba kinachofanywa na baadhi ya Watanzania kwenye maisha binafsi ya Davido ni ulimbukeni na ujuha kupita maelezo na kama wewe binafsi huoni hoja hapo basi ni mushkeli.
Wenzako washazoea ubungo terminal wanaingia hadi na kunguni na mende.....
Kitambo hicho yani!
Hapo ndomo alikua anakunywa gongo tandale huko!
Hahahahahahaa
Maneno ya kienyeji kama haya wala hayana msaada zaidi ya kujifurahisha tu.
Kenya na Tanzania hakuna wa kuvunja rekodi ya kanda Bongoman mpaka kesho. Sijui hata kama utanielewa.
mmmmmmh!!??
Hahaha matola alikuwa team kiba naona sasa kahamia kwa davido. .. hahahahaha
Maneno ya kienyeji kama haya wala hayana msaada zaidi ya kujifurahisha tu.
Kenya na Tanzania hakuna wa kuvunja rekodi ya kanda Bongoman mpaka kesho. Sijui hata kama utanielewa.
nia na madhumuni yake yakiwa ni kumstress out daimond, ila i bet u BP na sheli itamparalyse
Hahahahahahaa uwiiiiiiii Matola wewe ni sheeedah jamani!
Maana humu wengine walikuwa wananyonya wakati First lady wa Kenya Mrs Moi analimwaga huno kwenye Inde monie ndani ya uwanja wa Nyayo mpaka alfajili mke wa Rais hajarudishwa ikulu mabodigadi nao wamenogewa na sebene, Moi akatowa amri kwa Kanda Bongoman kuondoka Kenya ndani ya masaa 24.........
Unajuwa alivyotuwa bongo show yake kiingilio kilikuwa shilling ngapi? Ni shilling laki moja za Kitanzania na ticket zilikwisha, imagine kipindi hicho Rais wetu ni Mzee Mwinyi.
Vipi mumy?nimekumiss kweli yani...
Me namzungumzia Chibuu kumbe we unafanya comparison..... ngoja nikarareeeeee.....
Hahahaaaaa......Inaitwa usiyempenda ndo yuko juu....kama hutaki jinyeee.....