Diamond anyakua tena tuzo mbili mbele ya wakali wa muziki Afrika

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
20160130020915.jpg

Kijana anayeiwakilisha vyema Tanzania kila kona ya dunia ameibuka tena na Tuzo mbili kama msanii bora Afrika kwenye tuzo za TOOXCLUSIVEAWARDS na msanii bora wa Afrika kwenye tunzo za TRENDS LOADED.

Msanii huyu amewakalisha wakali wengine kama Davido,WizKid,AKA,Vanessa Mdee,Sarkodie,Toofan,Saut Soul na wengine wengi

Hongera sana Chibudiii Chibudeee, Jirani anayependa kiki kupitia mademu wa zamani wa Chidueee Jipange sana.
 
Mjomba alisema,mwanaume kumsifia mwanaume mwenzake kuna walakini.....
 
View attachment 320145

Kijana anayeiwakilisha vyema Tanzania kila kona ya dunia ameibuka tena na Tuzo mbili kama msanii bora Afrika kwenye tuzo za TOOXCLUSIVEAWARDS na msanii bora wa Afrika kwenye tunzo za TRENDS LOADED.

Msanii huyu amewakalisha wakali wengine kama Davido,WizKid,AKA,Vanessa Mdee,Sarkodie,Toofan,Saut Soul na wengine wengi

Hongera sana Chibudiii Chibudeee, Jirani anayependa kiki kupitia mademu wa zamani wa Chidueee Jipange sana.

we shoga sasa ali kiba anaingiaje hapo?? unamwogopa mbona hujawataja wengine? au hawapo??

acha uoga
 
Sina hakika kama anaandika. Naona bado anawaza kuwa kiti kina vumbi. Mwenzake hajahitaji kukalia kiti chake bali kanunua sofa.
 
Watanzania bana!!! Ivi mnataka kiba awe diamond then what?!?! Hawa si watanzania wote? Kwann tusiwa kuze wote tuipatie nchi yetu sifa, uchonganishi wa nn sasa!?
 
Back
Top Bottom