Diamond analipwa bei gani kwa show za nje na ndani?

Mlalahoi Mlalahai

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
399
146
Nataka kujua baba tifa, analipwa bei gani kwa show za ndani na nje kwa sasa, ukizingatia anatembea na team kubwa kwa ss, wapiga picha, DJ, dancers na pia ana mameneja watatu, tafadhal
 
Wewe ni Promota? Kama ndivyo mtafute meneja wake tusichoshane hapa, na kama sio Promota unauliza ili iweje?



#via uchokozi
 
Tsh 150,000/= Laki moja na nusu kwa nje, ndani tsh 50,000/= elfu hamsini.
 
Back
Top Bottom