Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude, Mr Blue, Dully Sykes, Juma Nature, Q Chief, Alikiba na wengine wengi.
Inamaana hao wote ni Marehemu? au nimesoma vibaya. Nisaidiwe tafadhali!
We Jamaa mkuda kweli duhKukosa tuzo sio mchezo atapost mpaka akiwa uchi ili watu wasahau kuhusu bet na hatusahau sisi
Nani kawaambia msahau kwani? Msisahau tu muone mtapata nini. Haters it is 2016.Kukosa tuzo sio mchezo atapost mpaka akiwa uchi ili watu wasahau kuhusu bet na hatusahau sisi
Mi sio hater bwana mi napenda mziki mzuri kama wa wizkid na alikiba sipendi mzki wa Freemason MimiNani kawaambia msahau kwani? Msisahau tu muone mtapata nini. Haters it is 2016.