Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla

Dah eti steve nyerere na shilole nao wanatangaza utaliii huyo waziri amefirisika kimawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ujaeleweka
 
Huyo Kingangwala ni mtu wa mademo...Flabian Matata ni ngoma yake na ndio maana kila mwaka anampa fursa kutembea mbugani.
Anatumia vibaya madaraka yake.


Sent from my iPad using JamiiForums
Wabongo wakipata mwanya wa kukuchana wanakuwa zaidi ya mashetani....
ona kama huyu sasa
 
Aunt ezekiel alienda kutangaza utalii gani tena. Dunia ina mambo
 
Jamaa linapiga hela za serikali kilainiiiiii halafu likiulizwa unaonaje tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana linajibu kirahisi rahisi tu 'VIJANA HAWA-THINK OUT OF THE BOX'

Think of of the box maviiiiiiiiiii.

dodge
 
Kigwangala, Kebwe Stephen, orodha ni ndefu...najiuliza hawa madaktari wa binadamu huwa kuna tatizo gani wanashindwa nafasi za uongozi?
 
Kigwangala amefanya mengi Sana Maliasili na utalii,hzi kasfa ndogondogo na wasanii wa bongo sio ishu.
 
HK rafiki yangu, ungekuwa mwena na kuitakia mazuri nchi hii kama unavyosema kila mara ungejiuzulu tu nafasi hii iliheshima yako iwe palepale, ndivyo waungwana wanafanya!
Mengine ulinificha siku ile tunazungumza tukiwa Singida, ile ndoto yako kwenda SH kumbe bado unayo?
Ulisahau mama alikataza hayo mambo majuzi[emoji29] naomba tuongee tena, , ,

120cBzq16_rBK
 
Ah ah huyu jamaa janja janja sana kigwangala halafu anajikuta albert einstein, anod swaziniga, mandela, amber rutty anajikuta rihana jay z maakili mengi
huyu mam samia suluhu,mizengo pinda,huyu dr abas kigwangala hajakamatwa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…