Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,425
Huyo Kingangwala ni mtu wa mademo...Flabian Matata ni ngoma yake na ndio maana kila mwaka anampa fursa kutembea mbugani.
Anatumia vibaya madaraka yake.
Sent from my iPad using JamiiForums
Hahaha hakunaga wasanii wabongo ambao ni wazalendo ..wote ni opportunisthao wasanii wameshindwa kutangaza movie zao wataweza kweli kutangaza utalii halafu huyu Mrisho Mpoto anajifanya mzalendo kumbe fisadi mkubwa kwanza hana uzalendo aliwahi kuiwakilisha kenya ufaransa kama mkenya kwa sababu wakenya hawakuwa na mtu anayeweza kuzungumza kiswahili vizuri halafu anaoneka ikulu mbele ya rais anahubiri uzalendo
Maujinga ujinga tu. Eti wasanii wanatangaza utalii. Hizi projects za Kigwangala ni za kipuuzi sana na ni ubadhirifu wa fedha za umma.
Waziri anayesimama kwenye geti la wizara ya afya kukamata wafanyakazi wachelewaji unafikiri ana strategies gani za maana za kukuza utalii?
Jamaa namwonaga ni immature halafu pretentious hivi.
Hiki alichofanya ni ubadhirifu wa wazi wazi na hii inatokana ulimbukeni,ushamba na ulafi tu. Waziri mzima unahangaika na third-rate actors and musicians plus waandishi wa caliber ya Millard Ayo, wa nini?
Nchi itaendelea kuwa nyuma kwa miaka mingi sana. Viongozi hawana vision,ni kutafuta misifa na kula tu.
Mwacheni mwamba atafune keki ya taifa, ndio wakati wake huu. Af tusijisahaulishe kwamba Maliasili na Utalii ni mojawapo ya Wizara ngumu sana hata kwa kasisi.
Wizara ambayo Accounts zake zinasoma kwa $$$$$ tu unafanya masihara nn! Picha linaanza jamaa anaishi kwenye VX-R
Ah ah huyu jamaa janja janja sana kigwangala halafu anajikuta albert einstein, anod swaziniga, mandela, amber rutty anajikuta rihana jay z maakili mengi
Sasa Mzungu gani Aliyeko kule jijini Manchester anayemjua Steven nyerere ama mrisho mpoto !!!....?Jiulize sasa ni mzungu gani atapanda mlima kilimanjaro kwa kumuona Stive Nyerere akipanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aiseMi naona sawa tu. It is his time...Dr Kigwa we komba tu mamaye!
Lazaro enzi zake nae alikomba saivi anaishi arusha kwa raha zote. Huyo mkewe ana project zisizoeleweka kichwa wala mguu.Mi naona sawa tu. It is his time...Dr Kigwa we komba tu mamaye!
Flavy ameachika siku nyingi. Hana ndoaAcha ujinga. Flaviana Matata ni mke wa mtu!
Mwenyewe anandoto ya kuwa rais na kiyabu chake kakiita KIGWANOMICS NACHEKAGA.Ah ah huyu jamaa janja janja sana kigwangala halafu anajikuta albert einstein, anod swaziniga, mandela, amber rutty anajikuta rihana jay z maakili mengi
Acha ujinga. Flaviana Matata ni mke wa mtu!
Acha ujinga. Flaviana Matata ni mke wa mtu!
Kabisa! Bila kumsahau Ezekiel Maige naye fasta fasta akajenga mjengo wa bilion 3 enzi zake. Wizara noma ile.Lazaro enzi zake nae alikomba saivi anaishi arusha kwa raha zote. Huyo mkewe ana project zisizoeleweka kichwa wala mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,wizarani na idara za serikali kuna vikwanzo sana.WIZARA YA Utalii na Taasisi Zake hawana nia ya Dhati ya kutangaza Vivutio vyetu!
Zaidi ya kung'ang'ania idea ambazo zina hazina Mashiko...
Nimeshawahi kwenda Wizarani pale mpaka Bodi ya Utalii...
Nikiwa na idea nzuri Sana ya namna ya Kutangaza Vivutio vyetu nje ya nchi... Nikiwa na Wadhamini wangu mkononi, nikihitaji tu Barua ya Utamburisho....
Hizo njoo Kesho, Marketing officer kasafiri, Njoo week ijayo Sijui nani hayupo.... Just kupewa barua tu ya kutambua Non profit project yangu... Mpaka nikachoka....!
Now ni miaka 4 imepita.....