Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi

Tena we umeongea ukweli ila huko Tanzania watawadanganya wabongo na walivyo wajinga wataamini kuwa Diamond katia fora Marekani kumbe kapiga kwenye kaukumbi ka shule tu na ni wabeba mabox chini ya 200 ndiyo watakaoudhuria. Ngoja ifike hiyo Jumamosi, utasikia uwongo mwiiiiiingi when there's no truth at all.

Mkuu si wivu, Diamond akienda Marekani hapigi kwenye ma HALL ya maana, I can assure you 100% ni steji tu za shule (Gym) ama vihall tu vya kijinga akirudi Bongo anawadanganya wadanganyika.
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Mkuu si wivu, Diamond akienda Marekani hapigi kwenye ma HALL ya maana, I can assure you 100% ni steji tu za shule (Gym) ama vihall tu vya kijinga akirudi Bongo anawadanganya wadanganyika.
Dogo tulia weweee,Mimi ni show kali weweee,wengine bongo tumeiacha miaka 20 iliyopita,tunagonga watoto wakali tu huku,na nikiwa ukumbini nitakwenda kwenye dancing flow uone nitakavyokuwepo kwa show na nitarusha pic humu humu
Huku mkuu ni byee tu,muhimu ni kujituma tu huku utapata hela,wenzetu hawana longo longo,huwezi kufa kwa njaa huku,karibu sana,nipo na machizi kibao tu wa east africa wanapiga show kama kawa na life linasonga