Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi

kuna kitu hakipo sawa...akiongelewa Diamond sio lazima atajwe Ali kiba...makosa haya tumeyafanya kwenye mpira Simba na Yanga..ndio maana hatufiki mbali...
Kuichafua marekani sio kitu kidogo angalia shoo wanazopiga wakina justin bieber na wasanii wengine wakubwa ndo utaona marekani inavyochafuliwa diamond anajitahidi kusaka mpunga na kutuwakilisha bado hajafika hiz level