Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,102
- 9,533
Hilo sio jukumu la BASATA su yoyote aliyefungia..Ni vizuri zaidi mngeanza kudeal na waliotoa ruhusa ya kushuti kama mnaona kuna kosa limefanyika.
Kitendo cha Zuchu kuondoka kanisani kisa simu ya Nassib, hii inaonesha kuwa ukristu ni takataka kiasi kwamba hauna maana yoyote mbele ya jina la diamond platinumz!Wewe niambie kwenye huwo video wa wimbo wake wapi unaona unamakosa tuanzie hapo kwanza
Kamwambia akashuti video zake msikitini.Sijaona kosa la mond...ktka ule wimbo...ILA AKAE AKIJUA CCM INA WENYEWE..NA HAINA RAFIKI WA KUDUMU ILA INA MASLAH YA KUDUMU
Hapa ndipo utakapoona Waislam wako makini sana katika imani yao hata kwa chembe ya pesa. Utakuta kiongozi wa kanisa kaambiwa kabisa kuwa tunataka kufanya hivi na hivi na tutalipa sh kadhaa kwa hili. Kiongozi kaona aisee fresh lete tu mtonyo. Nenda na ela yoyote kwa kiongozi wa msikiti hata iwe nyongi kiasi gani lakini katu hawezi kukuruhusu kufanya upumbavu kwenye msikiti wao.Kwani huko Kanisani wahusika waliomruhusu kushuti wao ni dini gani?
Msikitini msalaba unaogopwa?Msikitini itabidi avuwe ule msalaba wake.
Hapo sasa.
Biblia inasema kama aliyetundikwa msalabani ana laana, msikitini hakuna laana.Msikitini msalaba unaogopwa?
Akiingia na msalaba ndio anakuwa ametundikwa?Biblia inasema kama aliyetundikwa msalabani ana laana, msikitini hakuna laana.
Anakuwa naunga mkono laana ya kutundikwa msalabani.Akiingia na msalaba ndio anakuwa ametundikwa?
Yesu Kristo alienda msalabani ili mimi na wewe tusihukumiwe. Alifanyika laana ili sisi tuwe baraka. Kupitia yeye tunao uzima wa milele.Anakuwa naunga mkono laana ya kutundikwa msalabani.
Hadi sasa viongozi wote wakanisa walioruhusu upuuzi huo wamesimamishwa kazi kupisha uchunguziHapa ndipo utakapoona Waislam wako makini sana katika imani yao hata kwa chembe ya pesa. Utakuta kiongozi wa kanisa kaambiwa kabisa kuwa tunataka kufanya hivi na hivi na tutalipa sh kadhaa kwa hili. Kiongozi kaona aisee fresh lete tu mtonyo. Nenda na ela yoyote kwa kiongozi wa msikiti hata iwe nyongi kiasi gani lakini katu hawezi kukuruhusu kufanya upumbavu kwenye msikiti wao.
Nadhani kuna la kujifunza kwa wakristo kwa ujumla kuwa lindeni misingi ya imani yenu. Mkiwa serious na imani yenu hakuna mpuuzi yeyote atakaye thubutu kuichezea imani yenu. Ataingiwa na uoga
Basi ndiomaana serikali inaingilia Kati kuyasaidia makanisa yanayofeli Kwa kuruhusu vitu km Hivi...Labda huko anapofanyia ni rahisi zaidi kupata ruhusa toka kwa wahusika wa Kanisa.
Wala ishu sio kushutia kanisan angekuwa mkristo wasingemfungia. ..Na wakristo hawana shida Na anayeshoot kanisan ...Mimi ni mkristo ila yeye kushoot wimbo wake kanisani tena Roma ni kawaida maana wengi tu wanaruhusu
Msikitini huingii mpaka uwe na udhu(isiwe na janaba)..msitini huwa hapaimbwi Wala kupigwa vinanda,sini yao ni kuimba kwaya,tangu lini kwaya ikaimbwa msikitini!!?Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?
Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
Msikitini una taratibu zake za kuingia,so mkiristo kwa kuwa taratibu hizo hazijui(udhu) Basi hawezi kuingiaWala ishu sio kushutia kanisan angekuwa mkristo wasingemfungia. ..Na wakristo hawana shida Na anayeshoot kanisan ...
Ishu Ni wakristo wakishutia misikitini inajulikana waislam wataandamana....kwann diamond muislam afanyie hvo kanisani?
Kwahyo mkuu mkristo akijifunza hizo taratibu akachukua udhu fresh akaingia kushoot video yake ya wimbo wa singeli...mtaruhusu?Msikitini una taratibu zake za kuingia,so mkiristo kwa kuwa taratibu hizo hazijui(udhu) Basi hawezi kuingia