East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Nakubaliana na wewe. Waliochagua watu kwa kigezo cha muziki kama Sugu kule Mbeya mjini wanajuuuuta kuchagua mvuta bangiDiamond yeye amefika hapo kwa kufunzwa na nani? Unafikiri ukifanikiwa katika jambo moja, ni lazima ufanikiwe katika jambo la pili au la tatu? Majimbo uliyoyaona na upungufu wa kile ambacho unafikiri Diamond atakifanya Ubungo, ni jimbo la Ubungo tu?
Labda Mapunga wenzake awe Mbunge wao.Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.
Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.
Nilikuwa nadhani wewe ni mtu mwenye fikra pana nà pevu kumbe siku zote nilikuwa najidanganya.In fact your IQ is very low and you such a narrow minded person. If anything, the new constitution should have a section banning uninformed people with poor thinking capacity like you from voting so that we can save our country from possible destruction.
Kweli Kabisa Mkuu,Nakubaliana na wewe. Waliochagua watu kwa kigezo cha muziki kama Sugu kule Mbeya mjini wanajuuuuta kuchagua mvuta bangi
Kweli Kabisa Mkuu,
Juzi nilikuwa pale MAFIAT, vijana wa pale wanajuta sana kumchagua SUGU, vyote alivyowaahidi hajatekeleza hata kimoja!