huyo alikiba anapata nini zaidi ya misifa kwenye ya jf ..
..tatizo unafikili alikiba anaweza kuwa juu diamond endelea kusubili na utasubiri sana mpaka ukome lakin sikio.halid kichwa
Heeeheeeeeee mtahangaika sanaaaa
Kiukweli mimi ninauzoefu kidogo na huu muziki wa bongo....lakini inabidi nikiri muziki wa bongo haujawai kupata msanii special kama Diamond...Tuache ushabiki pembeni this guy is powerful....Leo media yote Tanzania na Kenya imetekwa na Diamond.....blog zote,tv zote,radio zote, social media nzima habari ni wimbo wa Diamond...Uko Mkito hajamaliza siku ila kashavunja rekodi ya wasanii wote.
Uyu ndio Diamond leo utampenda kesho utamchukia, then utampenda tena kisha utamchukia kisha utampenda tena.....Na huu ndio unyota. Kila mtu sasa yupo bize kupromoti ngoma yake mpya in a bad way or good way mwisho wa siku itakuwa heat zaidi ya Number one.
Keep it up Diamond...!!
huyo alikiba anapata nini zaidi ya misifa kwenye ya jf ..
Mtuwache mashabiki wakeee,,,,mnaona wivuuu
Jikaze mtoto Wa kiume kuandika huku unajilegeza Kama shori haipendezi sidhani Kama Fredy atafurahi akiona huu ujinga.
kuna watu hawampendi kiba jamani uzi wa daimond mnataja kiba kuonyesha mna inferiority complex
wabongo wanadhani Dimond anaimba mipasho.... haha! wema saa hivi sio leval za dimond

Mnaoponda nyimbo hebu tungeni na nyie muimbe tuoneee kama hamjachekeshaaaa,ukitaka kuujua utamu wa ngoma ujue style za kucheza
Sifa za Jf muulize Slaha 2010, sifa za Jf waulize Ukawa kwenye katiba.....Jf isije ikamdanganya mtu.
Jikaze mtoto Wa kiume kuandika huku unajilegeza Kama shori haipendezi sidhani Kama Fredy atafurahi akiona huu ujinga.
hakuna cku diamond altoa nymbo cku ya kwanza then mkaisifia but baada ya muda inakuwa nation anthem.hata my number one ilkuwa hvyohvyo but baadae ndo imemsababshia anajulkana africa so subrn kuwa nominies kwenye tuzo mbalmbal
Kiukweli mimi ninauzoefu kidogo na huu muziki wa bongo....lakini inabidi nikiri muziki wa bongo haujawai kupata msanii special kama Diamond...Tuache ushabiki pembeni this guy is powerful....Leo media yote Tanzania na Kenya imetekwa na Diamond.....blog zote,tv zote,radio zote, social media nzima habari ni wimbo wa Diamond...Uko Mkito hajamaliza siku ila kashavunja rekodi ya wasanii wote.
Uyu ndio Diamond leo utampenda kesho utamchukia, then utampenda tena kisha utamchukia kisha utampenda tena.....Na huu ndio unyota. Kila mtu sasa yupo bize kupromoti ngoma yake mpya in a bad way or good way mwisho wa siku itakuwa heat zaidi ya Number one.
Keep it up Diamond...!!
Bina ktk uhalisia na fikra alizokupa Mungu unafikiri ninaweza kumwonea wivu domo kwa lipi labda?
Basi kubali tu nyimbo.kaliiii
Ha ha ha labda kwasababu ya ugeni na nyimbo za ushenzini ndo maana nashindwa kutambua Kali ipi na mbaya IPI
By the way hamjambo huko mwanza?