Kila mtu amepewa kipaji chake na kila mtu anatumia kwa uwezo wake.....na tunategemeana, hao uliowataja wewe hivi unajua muziki ndo huwaliwaza na kutuluza msongo wa mawazo...kila mtu kwa nafasi yake hufanya dunia iende, MUNGU mwenyewe kwa mujibu wa biblia anapenda sana Muziki....we wachukie ila jua kupitia mziki na akili zao ndogo unazozusema wewe wanatengeneza pesa tena kukuzidi wewe