Ipakue hapa. https://cloudup.com/files/ivumRL-5FeY/download dogo anatumika vibaya sanaKuna Nyimbo Mpya katunga Diamond --FT CCM
--Kuna watu wanaacha kazi wanaongelea Vyeti
Sasa Ajira zipi Serikali imetangaza tangu 2015?
Private sekta biashara zimedorora, watu wamepunguzwa kazi
Ajira zinapotea Mahoteli yanapunguza watu kazi
Utalii umedorora
-- Amani ya nchi inapotea...kuna watu wanaandika kwenye mitandao
Je---Amani wakati watu wana njaa...watu wanakula wadudu...Kusema kuna njaa ni uchochezi...Amani ipo Diamondi wewe uliyeshiba
Uhuru wa kusema no, kuongea tu ni uchochezi
Vyombo vya habari vinavamiwa na mtutu wa bunduki
Bastola anatolewa mtu mkubwa kama Napeee...Je wewe masikini?
Watu wanatekwa na kupotea...Ben Saa Nane na Roma ex
Mikutano ya vyama vya siasa...Demokrasia iko wapi?
[HASHTAG]#freeroma[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freebensaanane[/HASHTAG]
dahHayo aliyoyasema ni kweli, KUBALIANA NAO HUO UKWELI HATA KAMA HUUPENDI - Kwa sasa Mange ana ushawishi kuliko hata LOWASSA
Mbona Clouds wanapiga huo wimbo tena sana tu.Huo wimbo hautapigwa wala kutajwa katika vituo vifuatavyo
Clouds Media
E- FM
ITV na Redio One
EATV
Labda utasikika kwa muda vituo vifuatavyo
Uhuru Fm
TBC
kila poxt ninayopita ni wew na bashite oyeeeWewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Na wkati gwajima.alisema ugomvi wao ni jimbo sasa dai anataka ugomvi na askofu.Mpaka hapo tayari diamond ni mfuata mkumbo, mwoga na mnafiki, kitendo cha kutumia neno " Eti " manaake anajifanya hana uhakika kwa lolote, pia kaamua kujitia upumbavu kwa kusema ugomvi gwajima na Konda kichocheo ni Mange, na mwisho anasisitiza kwamba kaambiwa akae kimya kama Sio kutafuta Kiki kisiasa mbona ameongea na mbaya zaidi ameongea mavi matupu.
Dua la kuku halimpati mweweSiku ikitokea kwake au kwenye familia yake, hapo ndipo mam yake atamwambia SEMA MWANANGU
Aisee ur right, Diamond z a qualified idiot!!akae tuu kimya maana zamu yake bado...na lait kama watu wote wangekua na mawazo ya kipuuz kama yake Tz ingekua bado kolon la muingereza na south isingekua huru...tatizo mlimpeleka twishen ya kiingereza tuu mkasahau mambo ya msing...Diamond is an Idiot.. There is no doubt.
He is a qualified idiot.
Nilijua tu lazima Bashite amtumie on that way na ametumika kweli kijinga kabisa.
Ukishishakuwa msanii wa muziki wa rank ya Diamond lazima uwe na broad way of thinking (uwezo mkubwa wa kufikiri na kutambua)ya kuweza ku evaluate what's going on kwenye Jamii kwenye muda husika na how u will respond to it.
Unfortunately Diamond na Bashite wake wote ni empty headed.. zero brain.. na ndio maana Bashite alivyomwomba Diamond atunge wimbo wa namna hiyo kwasababu hana akili akakubali.
cc W. J. Malecela
Huwa sizipendi nyimbo zake ila niliposikia Roma nikatamani niusikie na nimeuelewa!Kwamba watu wengi isipokuwa yeye,hawana kazi za kufanya wanajadili ubashite!Anadharau na huenda ni haki yake,si ana hela!Jaman !!
Hivi huu wimbo mmeusikiliza kwa umakini na kuutafakari kweli wakuu?? Maana inawezekana bado kuna shida katika kuuelewa vizuri na maudhui yake lakin mimi naona ni wimbo mzuri tu ila ndani yake una direct and indirect themes.
You can't silence people cocochanel why all these happening this time? Brainstorming lady!!Wewe ndio unasema juu ya uoga.
Mjifunze kuheshimu maamuzi ya binadamu wengine, sio lazima kila mtu atafute pesa kupitia kiki ya Kiongozi kwa kufata mkumbo wa uongo unaotungwa.
Mnapenda kuamulia watu kama vile, nyie mnaishi kwa kuamuliwa.
Amewapa ukweli na maisha ni yake.
Makonda oyeeeeee
Chuki zakijinga hizoMimi ni shabiki nambari moja wa diamond ila ulichokifanya kitakupeleka pabaya
Amini nakwambia huyu bashite unayempigia debe ipo siku yatakutokea puani tu
Yaliwakuta wema itakua ww?
Yalimkuta nape itakua ww?
Yaliwakuta clouds itakua ww?
Kina manji, petirman, na watu kibao sembuse ww?
Hao wote walikua vipenzi wake bashite
Mimi nakwambia umeamua kuwa against na taifa na kuwasaliti masikin wa nchi
Amini nakwambia unajiingiza vita na ngoma usiyoijua
Unataka kupotea kisanii ww si bure amini nakwambia
Unajiingiza kwenye migogoro bila kujua unajiharibia.
Bora ungebaki kimya tu
Mange kasemaje kwani!??Sijaona kosa la diamond mpaka sasa!mbona Nay anaimba na hajatukanwa?!au kwa kuwa kaimba diamond?!
Mange ni chizi tu kama machizi wengine,anataka watu wamuamini yeye kwa lazima kama nani?!
Hiyo ndio kazi ya fasihi, itafsiri kadri uwezavyo uki relate na hali halisi. Kang'ata na kupuliza!...hajaside popote!...Jaman !!
Hivi huu wimbo mmeusikiliza kwa umakini na kuutafakari kweli wakuu?? Maana inawezekana bado kuna shida katika kuuelewa vizuri na maudhui yake lakin mimi naona ni wimbo mzuri tu ila ndani yake una direct and indirect themes.