K kichomvi Member Jul 29, 2017 5 1 Mar 16, 2018 #1 Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana na tatizo hili maana gari imeanza kukosa nguvu.
Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana na tatizo hili maana gari imeanza kukosa nguvu.
costerntine Senior Member May 5, 2013 172 27 Mar 16, 2018 #2 Safisha sensor YA camshaft kwanza ikikataa kfanyakazi funga mpya au inwezekana wire imekatika
K kichomvi Member Jul 29, 2017 5 1 Mar 16, 2018 Thread starter #3 costerntine said: Safisha sensor YA camshaft kwanza ikikataa kfanyakazi funga mpya au inwezekana wire imekatika Click to expand... Asante sana mkuu wa ushauri wako,nitaufanyia kazi
costerntine said: Safisha sensor YA camshaft kwanza ikikataa kfanyakazi funga mpya au inwezekana wire imekatika Click to expand... Asante sana mkuu wa ushauri wako,nitaufanyia kazi