Wana JF leo nimestuka sana baada ya kukutana na tangazo la kupanda gharama za kuegesha gari pale DIA kutoka 1000 hadi 2000 kuanzia tarehe 1/8. Ninaomba JNIA wajibu haya maswali
1.Gharama gani za uendeshaji ambazo zimepanda kwa asilimia 100?
2.kikawaida nilitegemea wangeenza kucharge baada ya dk 15. Lkn hata ukipack dakika2 bado unatakiwa kulipia hiyo elfu2.
3.Jee kama kupandisha bei ni kutokana na ku discourage watu wasiende na magari yao. Jee wametupa alternative ya kwenda kiwanjani? Kuna njia ya tren ya kutifikisha pale?
Jee mabasi mbona hayaruhusiwi kuingia na kushusha abiria?
Huu ni uonevu mkubwa kwa sis watumiaji wa uwanja?
Hatuna njia nyingine ya kufika uwanjani zaid ya kutumia usafiri binafsi.
Bado wanataka tulipie elfu mbili kwa saa. Hata ukikaa dk1 lazima ukipie elfu2.