Kwa wale mliofuatilia 'The Voice' season 1, mtamkumbuka binti huyu, very innocent and shyly face, alikuwa mentored na Blake Shelton, mzee wa 'you will be my Louisiana, I will be your Mississippi...I will be your honeybee' .
Binti ametoa album yake ya kwanza inakwenda kwa jina la 'Red', nyimbo 10.
Kwa wale wenzangu wa music country na wenye uelekeo huo mnajuzwa.