Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

Maneno yako yamenitia uchungu. Hakika, kama ilivyokuwa huko siku za nyuma, tutaiingia kwenye maombi makubwa kadiri iwezekanavyo kuomba tuondokane na utawala wa dhuluma, na tusimikiwe utawala wa haki.
Huyu bibi lazima atadondoka mapema sn
 

Raisi ni Tasisi na sio sehemu ya kulipiziana visasi yani unataka kuhalalisha unyama wa jiwe kwa kigezo cha uongozi? watu wametupwa kwenye mifuko watu wamepigwa risasi watu wamepotezwa hadi leo hawajulikani wapo wapi, watu wanekimbia nchi na kuziacha familia zao, watu wamepokonywa pesa benki watu wamefungwa, alafu wewe unakuja kutetea kwa kigezo cha madaraka, ivi unajua ni uchungu gani walionao ndg za benni na azori ebu tuwe na ubinadamu kidogo au kwa sababu wewe hukuguswa? na kama unazani kila nchi ni lazima kiongozi auwe watu jaribu siku moja nenda namibia au botswana ndo utajua utawala ni nini,
 
Hujui hizo serikali za Botswana na Namibia how they operate,hujui chochote unachoelewa ni sawa na picha au sura nzuri ya cover la kitabu ila yaliyomo ndani huyajui.
Usikimbile nje toa mifano yetu hapa tz uhuru mpaka sasa.
 
Tanzania kuna watu wawili kamwe usishindane nao Askofu Josephat Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Tanzania kuna watu wawili kamwe usishindane nao Askofu Josephat Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Tanzania kuna watu wawili kamwe usishindane nao Askofu Josephat Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Tanzania kuna watu wawili kamwe usishindane nao Askofu Josephat Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Tanzania kuna watu wawili kamwe usishindane nao Askofu Josephat Gwajima na Freeman Aikaeli Mbowe.
Rubbish
 
Hujui hizo serikali za Botswana na Namibia how they operate,hujui chochote unachoelewa ni sawa na picha au sura nzuri ya cover la kitabu ila yaliyomo ndani huyajui.
Usikimbile nje toa mifano yetu hapa tz uhuru mpaka sasa.

Wewe unaejua ndiyo useme how they operate usitake kuhalalisha unyama kwa kigezo cha utawala, dunia ya sasa ipo wazi hakuna siri, jiwe alikuwa rais dhalimu wa hovyo muuaji roho mbaya, mbinafsi mwizi anaependa kusifiwa asiye shaurika na ndiyo maana baada ya kifo chake kuna watu waliweka sherehe ndio ujiulize why?
 
MAHAKAMA IMETENDA HAKI
 
nyinyi lini mmefaulu hata mtihani!!!
Ukuona jiwe akipiga magoti na kugalagala kabisa kuomba kura na still alipenya kwa mbinde.Tukamuomba Mola awaaibishe wahuni wote waliowanyima watu haki ya kuwachagua wawakilishi wao,Mola wetu ajatenda ametenda?
 
atatwaliwa mda si mwingi
 
Simon Sirro ambaye awali alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam amekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi wa 10 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwisho wa makala hii tutawaorodhesha wengine waliomtangulia kushika wadhifa huo.

Simon Nyakoro Sirro alizaliwa eneo la Kiabakari wilaya ya Butiama mkoani Mara mwaka 1963.

Kuhusu elimu yake, Simon Sirro alisoma Shule ya Sekondari ya Ilboru jijini Arusha na Tosamaganga kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu kusoma Shahada ya awali katika Sheria.

Sirro amesoma pia seminari (masomo ya upadri) na kufikia ngazi ya juu kabla ya kuacha na kujiunga na Jeshi la Polisi.

Kamanda Sirro alisema kuwa kama isingekuwa baba yake basi leo yeye angekuwa ni Padri wa Kanisa Katoliki kwani ndiyo ndoto yake kubwa, lakini baada ya wazazi wake kumkatisha ndipo alipojiunga na jeshi hilo.

Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Upelelezi Kituo cha Polisi Buguruni mwaka 1998, Mkuu wa Upelelezi Tarafa ya Magomeni kwa miaka 5 na Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Tabora.

Mwaka 2002 alikuwa Mkuu wa Upelelezi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam akiwa msaidizi wa Abdallah Zombe.

Sirro ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam wa tatu ambapo aliteuliwa na Rais Dkt Magufuli Februari 15 mwaka 2006 akichukua nafasi ya Suleiman Kova aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka 2008. Kabla ya Kova aliyekuwa akiongoza Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni Alfred Tibaigana.

Wakati Suleiman Kova akiongoza Kanda Maalum ni ya Dar es Salaam, Sirro alikuwa msadizi wake ambapo baadae alirithi mikoba yake.

Kabla ya kuongoza Kanda Maalum Dar es Salaam, Sirro amewahi kuwa Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania. Moja ya opersheni kubwa alizowahi kuongozi ni Operesheni Kimbunga dhidi ya wahamiaji haramu mwaka 2012.

Lakini pia, Simon Nyakoro Sirro amewahi kuwa Kamanda wa Polisi wa Mikoa mbalimbali ambayo ni Tanga, Mwanza na Shinyanga.

Wakuu wengine wa Jeshi la Polisi ni;

  1. Elangwa Shahidi (1964-1970), alistaafu.
  2. Hamza Azizi (1972-1973), aling’olewa na Mwl. Nyerere kwa matumizi mabaya ya madaraka.
  3. Samwel Pundugu (1973-1975).
  4. Philemon Mgaya (1975-1980), aliachishwa kazi kwa manufaa ya umma.
  5. Solomoni Liani (1980-1984), alihitimisha kipindi cha mwisho cha Mwl. Nyerere.
  6. Harun Mahundi (1984-1996), alistaafu.
  7. Omari Mahita (1996-2006), alistaafu.
  8. Said Mwema (2006-2013), alistaafu.
  9. Ernest mangu (2013-2017), atapangiwa kazi nyingine, na
  10. Simon Sirro (2017-) yupo madarakani.
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Nyakoro Sirro ameoa mke mmoja na ana watoto wanne
Angalia hapo juu: Laana ya kukimbia ukasisi haijamwacha!
Laana ya kushirikiana na zombe muuaji haitamwacha
Halafu kumbe ni mtoto wa mama- wa KIABAKARI
 
Kwani yeye ni Mungu?
Hakika huyu ni mudhambi kama wanadamu wote. Tena yawezekana ana dhambi zaidi ya hizi wanazozitaja.
 
Kama hayupo mtu aliyewahi mgusa akawa salama basi huyo ni gaidi totally
 
Ukuona jiwe akipiga magoti na kugalagala kabisa kuomba kura na still alipenya kwa mbinde.Tukamuomba Mola awaaibishe wahuni wote waliowanyima watu haki ya kuwachagua wawakilishi wao,Mola wetu ajatenda ametenda?

hap ndipo huwa wanawapiga,jiwe aligarahara mixer kupiga push upa,ili hata akishinda kihuni watu waseme kura aliomba lakini.

nyinyi mmebaki na migomo ya kwenye mitandao tu wenzenu wanendelea na mengine.
 
Pole sana Mkuu, lakini Mkuu ulikua ukitembea na mbowe Siku zote ukajua kila jambo alilokua akifanya?

Mbowe hana sifa za binadam kwamba hawezi Fanya makosa? Au kuwa CHADEMA humfanya MTU kuwa malaika?

Mbowe ametuhumiwa kuwa gaidi, na siyo gaidi tuiache mahakama itoe maamuzi baada ya hapo ndipo tunaweza zungumza tunayoona yanafaa.

TAIFA LINA THAMANI KUBWA SANA ZAIDI YA MBOWE MBOWE ATAPITA ILA TANZANIA ITABAKIA KAMA TANZANIA ( PUBLIC INTEREST)
 
Ndo utulie sasa uone nini alifanya na kama alofanya sio kinyume cha sheria, mbona hamtaki tusikie ushahidi mahakamani? mnaogopa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…