Upo sawa kaka....
Watu hawajui ila dhl ina divisions zake 3 hapa nchini kuna dhl express wale wa vifurushi,dhl supply chain wanaofanya warehousing na distribution na dhl global fowarding hawa ndio logistics wanaofanya kazi za clearing and forwarding. Sasa division iliyofungwa ni dhl global forwarding ila hizi nyingine mbili zipo na zinalipa kodi...kati ya mambo dhl hawaleti utani nayo ni compliance na sheria ya nchi husika yan utafukuzwa kazi kwa kutofat sheria hasa kulipa kodi na mambo ya afya na usalama.