Umezaliwa lini?Unaifahamu EMS?watanzania wengi wanaitegemea DHL kuliko unavo fikiria serkal tuu yenyewe wanaitumia ingawa kutuma barua kutoka tabora to dar tuu ni af25 ila sjui asaiv ni bei gan
lkn watu tulkua tunapishana ofcn kwao
iviii kwa nn usiende TRA?Nimeuliza walikuwa wanalipa kiasi gani ?hujawa na jibu....sasa nikikuuliza walikuwa wanatupotezea kiasi gani ungesemaje?
what if you lose 10 to gain 20?
Waliozoea vya kunyonga kwa utawala huu wanapata shida sana
Hata kama kampuni ni ya wapi na hata kama ni international but Dhl ya Tanzania lazima i contribute kwenye dhl main pool ya world wide. Hivyo kama dhl Tanzania haitengenezi faida, they should hav to close up their operations in Tanzania. Now watu hawaagizi mizigo as earlier na pia si rahisi kukwepa kodi. So hata kama walikua wanafanya biashara ya magumashi kwa enzi hizi they can't.how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Mkuu, Fed Ex walishachapa lapa bongo loooongi. Yupo wakala tu.UPS, FeDex, na lile shirika la wazawa nimelisahau jina ni wakati wao wa kuchapa Kazi sasa
youp ni kampuni 2tofauti na kila 1inafanya vizuri kwa upande wakeUmezaliwa lini?Unaifahamu EMS?
Ulishawahi kupokea hawala ya fedha??
yup hiyo ni 1 ya factor katika nyingi zilizo pelekea ku shutdown operation zaoHata kama kampuni ni ya wapi na hata kama ni international but Dhl ya Tanzania lazima i contribute kwenye dhl main pool ya world wide. Hivyo kama dhl Tanzania haitengenezi faida, they should hav to close up their operations in Tanzania. Now watu hawaagizi mizigo as earlier na pia si rahisi kukwepa kodi. So hata kama walikua wanafanya biashara ya magumashi kwa enzi hizi they can't.
We huwezi ona umuhimu wa dhl maana kutwa Uko lumumbaWatanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??
by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .
wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
Hawa lumumba akili zao zimefika mwishooSiku serikali ikishindwa kulipa mishahara mje pia hapa na kusema na yenyewe niya wapiga dili kama mfanyavyo kwa private entities
Mkuu kumbe unatumia vodaphone nd maana na akili zako n ndogo kama uwezo wa iyo Coakazane kusoma tuu jf is too big kwake
akisha balehe ndo aje jf
Tatizo umaskini, wangesoma havard labda wangekuwa waelewawasomi wa Kata mna shida sana!
Mkuu kwani kampuni ikiwa world wide haipati shida!^&mbona ni nyingi tu zinakufa kutokana na maanguko ya kiuchumi,poor management nkhow come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
unafkir na mm naongwa ka wewe?Mkuu kumbe unatumia vodaphone nd maana na akili zako n ndogo kama uwezo wa iyo Co
Upo sahihi hii ilikuwa inafanya kazi ya clearing kama makampuni mengine ya clearing and fowarding na kwa kuwa hii shughuli imekuwa ngumu naona wameamua kujitoa wabaki na hiyo ya parcel tu.DHL Logistic and not DHL Express..so DHL Express bado inaendela kama kawaida au mimi ndio sielewi?