Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,314
- 72,740
".....Naapa kuwa nitailinda na kuitumikia katba ya Tanzania eeMUNGU nisaidie". Hivyo ni viapo tunavyosikia wakiapa kwa Mungu wao kuanzia Rais hadi wabunge na kutetekeleza kiapo ni dharau kwa uliyemuapia na ni laana pia.
Sasa hili jambo limekuwa janga kubwa kwa nchi kama ulivyo ukame au mafuriko.
Na kama ilivyo desturi, majanga yatokeapo kwa pamoja tunaandaa maombi ya pamoja ili Mungu atuepushe na majanga hayo, hivyo basi kwa janga hili LA viapo hewa vya viongozi wetu na kufuru wafanyayo kwa kuapa mbele za Mungu kisha hawatekelezi viapo tuandae maombi kumuomba Mungu awashughulikie wote bila kujali cheo chake ALIYE APA NA KWENDA KINYUME NA KIAPO.
Nadhani Mungu akijibu sala zetu kwa kuwapiga ukoma au ajali mfululizo wale wanaomdhihaki tabia hiyo itapotea na Taifa litajiepusha na laana.