Dhana ya vibamia na vijaruba.

Dhana ya vibamia na vijaruba.

RAGNAR LOTH

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
698
Reaction score
1,589
Niko katika mfululizo wa maada zenye kuondoa mkanganyiko ama myths zinazoharibu saikolojia ya vijana na kukosa kujiamini. Kama hukunisoma kwenye maada yangu iliopita ni vyema ukanisoma ili twende sawa.

Vijana wengi hasa teenagers na 20's wanakosa kjiamini kutokana na maumbile ya nyeti zao. Hii inasababisha usumbufu mno humu ndani na ndipo maneno kama Kibamia, mabwawa yakaibuka.
Ni hivi,, Kwanza kabisa hakuna mwanadamu aliyezaliwa na kibamia na hakuna aliyezaliwa ana mmbwawa, Sir God hajawahi kosea ktka uumbaji.

Shida inakuja ukishaumbwa ukaumbika then ukaja huku to the living hell. Life style za kishetani ndio mzizi wa tatizo kuu, nianze na hawa mates wetu wa kike.

Maumbile ya mwanamke pindi azaliwapo na kabla hajaujua aina yeyote ile ya utamu wa tunda huwa ni kwa sifa na utukufu wa Mwenyezi Mungu.

Shida inakuja pale anapokua Jungu kuu lisilokosa ukoko, kila men anaye, anakauwa kama mpira wa kona kila mchezaji anagombania kufunga, wenye vibamia wamo, mwenye tango yumo, Karoti zimo, wenye biringanya nao hawakai nyuma, inafikia kipindi unaweza ukamtupia kambare humo ndani na akaishi vizuri kabisa.

Utaachaje kua na jaruba sasa??
Utaachaje kulalamika wanaume wana vibamia??
Utaachaje kutoa viharufu vya kuchachafya??
Maandiko hayakukosea kusema mwanamke mnzinzi ni mchafu...

Mwanamke ukizoea karoti basi zise yako itabaki ya karoti, hali kadhalika na wa kibamia, tango, biringanya n.k..

Wanaume/ Wavulana/Wakiume.

Hawa watu sasa kwa kutaka sifa nao hawako nyuma, Wataachaje kuona ushujaa kuchana nyeti za wadada kwa mfano.
Mzungu nae hayuko nyuma akaliona tatizo mapema tu akaleta Penis enlargement pills, pumps, renomets. Wengine kutwa kiguu na njia, sikio na simu kwa waganga wa jadi na tiba asilia, watu na PHD zao.

Ili mjue kwamba mungu hajawahi kosea mnarefusha nyeti lkn ndo zinalegea kama bembea, after then mnarudi na thread za uhanisi na ma-kansa ya makende. Vijana, sexual Mongers wasiwaharibu, majaruba yao yasiwatishe mkawa wanyonge.

Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke aliyezaliwa na bwawa ila wanayapata ukubwani baada ya kuchimbwa na size tofauti.

Niwamegee siri wengi wenu msioijua :::: Hata km mwanamke kakutana na muhongo wa jang'ombe baada ya muda maumbile hurudi kawaida kabisa kama yalivyokuwa. Sasa ukiona ana jaruba ujue mzee baba umekaribishwa kwenye jamvi la wageni. Huo ni mpira wa kona


Wito kwa jinsia zote :

Wa kike punguzeni tabia ya zoazoa tumieni hicho kiungo kwa busara na hekima, msiwe gari la taka viwolper havitawaacha licha ya kuwa na jaruba za maana.

Wa kiume na nyie kama panya hamuishi kutafuta mashimo mapya kila uchao, Learn to abstain, mashimo mengine hayaingiliki lasivyo mkubali kuitwa vibamia na sexual mongers.
 
Haya bhn ktka ubora wako.
Eti ukitumbukiza kambare anaishi.
Mungu anakuona.
 
Ndefu kichiz aliesoma aniadisie

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hebu ngoja nifuatilie kwa ukaribu nione jinsi watu wanavyopigana vikumbo hapa
 
Back
Top Bottom