SnowBall nimetafuta kitufe cha LIKE sikioni...................Nadhani wanawake wengi pia wanalazimika kubaki kwenye mahusiano kwa sababu ya neno..'watu au jamii itanionaje'
Wakati mwingine makosa yaleyale ambayo yanavunja ndoa endapo yangefanywa na mwanamke yakitendwa na mwanaume jamii inachukulia poa..so, wanawake always wanajikuta wapo kwenye disadvantaged position!
hivi hao wanaosema wanaume wachache wanaishi wapi? Jangwani?
Tabia ya kutokumuamkua mumeo asubuhi umeianza lini.
Jamii has never been woman friendly hata siku moja. It is a big challenge to be a woman.
Kuna swala la jamii itanionaje, lkn pia watoto wataishije na ile kitu famous ya 'mpaka kifo kiwatenganishe'.
Mengine ni kuamini kuna siku atabadilika, nitaanzaje maisha (uoga na of course nitampata wapi mwingine) na ujinga au kutojithamini sisi wenyewe wanawake!
Jamii has never been woman friendly hata siku moja. It is a big challenge to be a woman.
Hili neno ndio mpango mzima kwa mwanamke. Only a woman can understand this! :A S-cry: