Dhana ya uhaba wa wanaume: huwaweka baadhi ya wanawake katika mahusiano magumu…!

Nadhani wanawake wengi pia wanalazimika kubaki kwenye mahusiano kwa sababu ya neno..'watu au jamii itanionaje'
Wakati mwingine makosa yaleyale ambayo yanavunja ndoa endapo yangefanywa na mwanamke yakitendwa na mwanaume jamii inachukulia poa..so, wanawake always wanajikuta wapo kwenye disadvantaged position!

SnowBall nimetafuta kitufe cha LIKE sikioni...................
Pokea LIKE yangu mkuu.

Kuna swala la jamii itanionaje, lkn pia watoto wataishije na ile kitu famous ya 'mpaka kifo kiwatenganishe'.

Mengine ni kuamini kuna siku atabadilika, nitaanzaje maisha (uoga na of course nitampata wapi mwingine) na ujinga au kutojithamini sisi wenyewe wanawake!

Jamii has never been woman friendly hata siku moja. It is a big challenge to be a woman.
Kaunga you said it quite right ma dear. mimi binafsi nilifikiri the same nikajithd kuvumilia. i looked at my kids what should i say to them. heri baba afe utamuonyesha kaburi kaunga but siyo mmedivarce especially wakiwa wadogo it pains sana to them.

pia life has never been fair to a woman always a woman is a victim. nina jirani yangu hapa anafanya kazi nzuri sana kama economist mr ni mishen town tu so the woman toils by caring and everything the woman built the house and wanaish hapo baba alikuwa anamboa she gives him money and the man spends it with vimada katika mabar. what do you think? that day mama alimfukuza huyu baba nyumbani. ilipita kama 2 months hivi kukawa kuna kikao mama alipokwenda alipotaka kuongea one of the member kwenye kikao alisema huyu sikaachwa na mumewe what is she going to tell us. it was sad real kesho yake the woman went to fetch his husband. i cried for her aisee.

sasa niambie kwanini always the society victimize the woman? je sisi ni nani mbele ya hawa? kwanini tuonekana viumbe dhaifu tu real naandika hii post nikilia kwa uzuni ambazo wanawake wenzangu ambao hawawez kujitete wanavyoteseka. nad yet men laugh behind us.
 
Last edited by a moderator:
Uzi wako umenikumbusha sura za watu tofauti niliokutana nao katika maisha wengine ni wa karibu yangu kabisa. Wanaishi katika ndoa hizi wakitegemea kuwa kuna siku mwanaume huyo atabadilika and roughly is about 10 yrs and this person has never changed.

Jamii ni mojawapo ya mwanamke kudhalilika, pili ni kufikiria watoto hasa wakiwa wadogo hakuna mama anayetaka watoto wake wabeheneke ndio maana utakuta mtu anavumilia mateso yake yote kwa ajili ya watoto. Mbaya zaidi ikiwa mama mwenyewe si mwajiriwa au hana namna ya kuwa independent.

Mtambuzi , mimi naona kama tu umegusia hili tatizo lakini hebu tupe ushauri zaidi vipi mwanamke akabiliane na challenges kama hizi. Ikiwemo huo uhaba wa vidume....

mi nashangaa mnasema kuna uhaba wa wanaume, hapana labda tu mseme kuna uhaba wa wanaume waaminifu, wa kuheshimika na wenye mapenzi ya kweli...lakini hapo hapo nikiuliza wanawake wa leo hii wa hapa mjini wangapi utawapata ni waaminifu, wenye heshima na mapenzi ya kweli, i think hii ni both genders na hali ya maisha ya sasa ndio inaharibu sana ndoa/rshp. Mimi mfano siamini kwenye mtu kuoa mara mbili, so nikishaoa then kukaanza matatizo sitaamka na kusema namuacha naoa mwanamke mwingine coz kama alivyosema mmoja hapo juu kikanisa ni till death do u apart, so will try and work so hard on the rshp lakini mwisho wa siku ikishindakana then bahati mbaya, huwezi ishi maisha ya mateso kisa dini hairuhusu muachane, hutaki mtu mpaka siku yako ya mwisho hapa duniani ulikua unalia na unateseka, Mungu hakutuumba tuje tuteswe na viumbe vyenzetu hapa duniani. its better to try than not tryin at all, na hapo hujaingiza issues za watoto, tunataka watoto wetu walelewe na baba na mama mmoja wapate mapenzi ya wote sasa mkishaanza kuchanganya watu wengine matatizo mengine yaanzaga hapo inakua sio vizuri lakini all in all matatizo ya rshp ni ya mme/mke hao ndio wanaleta ugomvi na kusababisha ndoa zivunjike na ndio hao hao wanaweza kusuluhisha na kupatanisha rship/ndoa zao sio ndugu sio marafiki sio vimada/vijamaa huko nje wala nani ni nyie wenyewe mkisaidiwa na baraka za Mungu of coz.
 
Back
Top Bottom