Dhana ya U-Handsome..............

Dhana ya U-Handsome..............

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Ndugu wana Jamvi!
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima na Baraka zake Alah zi pamoja nasi.
Baada ya salamu nirudi kwenye topic.
Nimekuwa nikiona/kusikia juu ya neno Handsome liokitumika kama sifa kwa vijana wa kiume,sasa napata wakati mgumu kujua vigezo vinavyotumika katika kujua mtu/kijana fulani ni Handsome,je;
1.uzuri wa sura.
2.usafi wa mtu
3.vyote viwili yaani uzuri wa sura na usafi wa mtu?
4.umbile (physical appearance)?
Au kuna vigezo tofauti na hivyo ambavyo hutumika?
 
mjomba dhana ya u-handsome ilishapoteaga,sikuhizi kuna attraction tunaiita u-handsome.....maoni yangu,now days,attractiveness ndo u-handsome huo
 
Siku hizi ni U- handmoney ndugu....We mfukoni kuwe safi uone mpaka majina utakayo batizwa..Utashangaa mwenyewe..
 
mjomba dhana ya u-handsome ilishapoteaga,sikuhizi kuna attraction tunaiita u-handsome.....maoni yangu,now days,attractiveness ndo u-handsome huo

sawa mkuu,hiyo attraction ikoje na inatofautianaje na u-handsome?
 
U-handsome ni
-sura nzuri ya kiume
-body nzuri

hapo kwenye sura nzuri ya kiume bado cjakusoma,sura nzur ya kiume ndio ikoje?
Body nzuri inakuaje?mwembamba,mnene,au inakuaje?
 
... Kwamba wewe ni kipofu au? That hujui tofauti ya hyo kitu. Haupo serious
 
... Kwamba wewe ni kipofu au? That hujui tofauti ya hyo kitu. Haupo serious
kwenye dhana upofu unakujaje?kama mwenzangu unajua tofauti kwanini usiweke mchango wako ili tuelewashane?
 
Uzuri wa mwanamme ni kichwani na majukumu.
Mengine makelele tu.
 
wewe ukitaka kujua umaana wa u-handsome muangalie george clooney. now he is handsome!!!
 
Handsome ni yule mwenye muonekano wa kitajiri tajiri hv.
Kama mimi hivi...
 
Back
Top Bottom