Dhana ya mapenzi na mitandao ya kijamii.

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Jan 28, 2014
241
56
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.
 
Unajua mtizamo wangu ni kwamba watu wanakoseana kias kwamba mtu anatamani kukutana na mtu mpya kabisa kuna wanaofanikiwa na wengne tatzo haliish.
 
Mpenzi utakutana naye mahala popote, hasa hasa mahali unapokaa kwa muda mrefu; na kwenye mitandao ndo kijana anashinda almost siku nzima, kwa hiyo ni rahisi kwake kutafutia mahala hapo.
 
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.

Tujiulize kabla ya ujio wa mitandao wachumba walipatikanaje?
Wachumba walipatikana kwa kuandikiana barua na kuagiza kwa rafiki wa mlengwa au kutuma posta na hata kuitupa njiani ili binti aiokote anapokwenda kisimani

Tujiulize changamoto zilizokuwepo kwa wakati huo

Tujiulize changamoto zilizopo sasa na je tuone ni ipi namna bora ya kupata wachumba wa kweli endapo njia au namna husika itaboreshwa
 
Unapohitaji mpenzi kutoka katika mtandao na vigezo unaweka, kwa iyo faida yake unapata mpenzi anaekizi vigezo unavovihitaji
 
maendeleo ya sayansi na tekenolojia,na vijana wengi ni waathilika wa mitandao hiyo,ila mpaka sasa ni vigumu kukuta wanandoa waliokutana kwenye mitandao,wengi wao wanadanganyana na kutapeliana na cku zinaenda
 
Ni sehemu nyingine ambayo watu wanaweza kukutana kufahamiana kuamua kuwa wapenzi na hata kufikiana hatua ya kuoana. Mie sioni ajabu yoyote. Huu ni mwaka 2014 desturi za kiafrika hazikatazi watu kutafuta wenzi wao mitandaoni.

Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.
 
Last edited by a moderator:
wengi wao ukisoma email zao ni vichekesho kwamba hawajaoa wala kuolewa wkt wengine tunakaa mtaa mmoja,utasikia mwingine anataka voucher
 
Kudanganyana Tu Eti Wote Wasomi Sijui Nini Mpenzi Au Mchumba Ni Yule Alioko Mazingra Uliopo Hao Wa Mbali Mfano Mkoani Au Nchi Zingne Mtapatanaje Kumitt Zaid Ya Kudanganyana Mi Siamini Na Chojua Ni Kumaliziana Muda Na Kudanganya Tu No New There So (Be Care Full With My Heart,)
Msi Ingizwe Mkengeni,
 
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana utashangaa hao wa mitandaoni wapo wanao dumu vlvl na wapo vimeo hakuna kanuni japo wengi tunaona yule unaemwona kila siku ndio unayeweza kumsoma vzr tabia kuliko huyo znayekwambia mie mweusi kumbe mweupe mie mwanamke kumbe mwanaume hatareeeee
 
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.

Mila na desturi za kiafrika zinasema nini katika mambo ya ndoa? Wanao kutana na kufanya ngono kabla ya kuolewa hv hawa wanakuwa wamefwata mila na desturi za kiafrika? Mbona mambo mengi siku hizi ni kinyume na hizo mila ulizotaja mama mkwe kutolewa out na mkwe wake kuenda nae bar eti anaenda kumburudisha mkwe halafu mama mkwe anajikuta anatongozwa au kupewa ofa na meza ya pili huku mkwe akishuhudia hii ni mila ya kiafrika ?nauliza tu
Tamaduni hubadilika kila siku kulingana na muda mazingira na mambo kede
 
Tujiulize kabla ya ujio wa mitandao wachumba walipatikanaje?
Wachumba walipatikana kwa kuandikiana barua na kuagiza kwa rafiki wa mlengwa au kutuma posta na hata kuitupa njiani ili binti aiokote anapokwenda kisimani

Tujiulize changamoto zilizokuwepo kwa wakati huo

Tujiulize changamoto zilizopo sasa na je tuone ni ipi namna bora ya kupata wachumba wa kweli endapo njia au namna husika itaboreshwa

Aliyetegeshewa barua anaenda kisimani alikuwa anafahamika,hapa changamoto ni kutongongozana kwenye mitandao bila kufahamiana matokeo yake cku ya kukutana wengine wanakimbiana.
 
Back
Top Bottom