Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Nitajitahidi kuacha kuanzia leo.wewe huyo??? Sio kwa ghafla sema mepunguza
ntaonaNitajitahidi kuacha kuanzia leo.
mkuu respect....hivi una kamfano kidogo kuhs mtu alieandika wosia then hakufa , matokeo yake alowaandikia wakamtangulia ?Umeanza vizuri kuwa "tumezaliwa na tutakufa" ila ukamalizia vibaya na hoja za uchuro.
Ni busara binadamu yeyote kupanga jinsi utakavyotaka urithi wako utumike kwa manufaa na malengo mahsusi pindi unapokufa. Haina maana kuwa wasia ni kiashiria cha kifo.
Wapo wengi tu waliandika wosia na badae walioandikwa kwenye wosia kama wanufaika au wasimamizi wakafa kabla ya muandika wosia.
Wosia ni njia nzuri ya kuendeleza malengo au ndoto zako pindi ufapo. Mfano Marehemu Nobel, alitaka pesa yake itumike kuwa zawadia wanaofanya mema duniani ndio maana tuna tuzo kuu ya NOBEL PRIZE.
umenipata vyema mkuuwengi mmejibu kwenye faida za wosia.
yeye kauliza kuna uhusiano gani kati ya wosia na kufariki kwa mtu siku chache tu baada ya kutoa wosia.
me mwenyewe nasubiri jibu, mana nimeshughudia wazee wengi siku chache tu baada ya kutoa wosia walifariki.
thanks kwa majibu muruaUhusiano wa kuacha wosia na kufa ni vile mtu huona kile anachokiacha kitaleta mtafaruku hivo hueka ushahid wake wa mgawo wamali zake kiuandishi au vyovyote aonavyo inafaa
Au huamua tu kua mali zake zitumike vipi, nimeshuhudia cases nyingi sana za namna hii
Anko wangu ameshagawa mali zake japo yu hai ana haumwi hata kope na amesema miongoni mwa mali zingine zigawiwe mayatima na mskitini zitolewe kama waqfu tunangoja tu ahad ifike maneno yafanye kazi
Kufa kupo hakukimbiliki haijalishi umeandika au la
Na asilimia kubwa ya wanaoacha wosia ni wale familia zao zina mikanganyiko mingi sana
hahaaHata hili swali lako ni dalili ya kifo kuwa makini.